Mkuu siyo kwamba huwa silost na lost mkuu. Hata jana kuna lost ya laki sita nilipata, ila nalost mara chache. Kwenye betting lost ni kawaida.Mkuu leo nakesha hapa kwenye huu uzi ukitupia tu code naruka nayo kwa 100k
Nataka niwe shuhuda
Ila kama unajua sio kweli please usiniingize mkenge maana naona unakula kila siku
Sijawahi kuona lost yako