willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Live Kula over 1.5 game ya newcastle na gg game ya bayern ukiwa na roho ngumu kula 2x ya wolfburgWazee wa live,na heki gem ya chelsea
Mechi iko open migoli ka yote.
Wa kuruka nayo kwa kuweka waruke nayo
Mi nimeotea 5.5 over
Huwa ndo trick zangu.hizo mara nyingi gem moja huwa nachukua.Kwa ya Newcastle ishatoa 1-1 tayari nikula.Napaendeleackueka mechi nnazoziangalia.Ni burudani flani hiv kwanguLive Kula over 1.5 game ya newcastle na gg game ya bayern ukiwa na roho ngumu kula 2x ya wolfburg
Nilitoa tahadhari tangu asubuhi nikasema bayern anawaonea huruma mnaombetia.Bayern Munich fc anawasalimia
Nimemwekea handicap ya 0:2 naomba mechi hiishe hivi hiv ili mkeka u survive....Nilitoa tahadhari tangu asubuhi nikasema bayern anawaonea huruma mnaombetia.
Anaweza shinda ila handcap yako imetoaa.Nimemwekea handicap ya 0:2 naomba mechi hiishe hivi hiv ili mkeka u survive....
Okay ngoja ni CHEKI live scoreL
Anaweza shinda ila handcap yako imetoaa.
MAdrid anasua suaTengeneza code yako haya na nyie Simba lenu hilo View attachment 3078836
Dk bado mkuuMAdrid anasua sua
Unaona mkuuMAdrid anasua sua
Tupo mkuu tunausoma mchezo