Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

5genk7.jpg

MIDNIGHT GAMES ON PARIPESA. WAKE UP TO BOOM ON PARIPESA.

CODE YA MKEKA: B2GJY

Jisajili PARIPESA na Weka Bet Yako Hapa 👇👇

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKA 👉👉 TIPS2424
 
Hako kauzembe unakosema ndio uwezo wenyewe mtu mwenye akili timamu awezi kuibetia man u ikicheza na Brighton wewe timu mechi nne mfululizo haijapata hata sare na Brighton halafu uibetie hivi utakua na akili timamu
Na Roma ya itali je',,,,, nipe maujanja fundi wa mikeka
 
Wakamalia leo niliona jamaa Kenya, anasema wanabeti Aviator lakini wakila hela nyingi akaunti zinafutwa.

Kuna mmoja anasema alikula wakamwambia athibitishe yeye sio roboti.

Hapa kwetu nakumbuka wakati nipo chuo kuna hii kampuni inawadhamini simba(hiyo hiyo inayokaa tumboni) jamaa flani walishinda hawakupewa pesa yote, ilikuwa hivi waliweka mkeka online then waka screenshot halafu mechi zilipoisha wakakuta wameliwa. Kuangakia vizuri kuna mechi wao hawakuziweka zimebadilishwa wakawekewa zilizo zingua. Wakafatilia wakapewa hela kidogo tena kwa mbinde sana.

Why nakupa hii, kuna IT yupo kampuni moja maarufu hapa Tanzania anasema huwa ndio michezo kubadilisha timu hasa kama umeweka mkeka wa timu 30 au hata 50 wengine, hapo wanakuwa na imani huzikumbuki zote, lakini hata ukikumbuka wana nguvu ya mfumo unachoonesha huwezi washitaki.

So kama wewe umewekeza ku bet online hakikisha unatoa copy ya mkeka wako iwe screenshot au record ila hakikisha uko makini jamaa hawataki kuliwa sasa hivi.
 
Niliacha pumde tu nilivyohis kuna namna wanafanya wale jamaa.
 
hali ngumu kila kona
 
Na Roma ya itali je',,,,, nipe maujanja fundi wa mikeka
Sasa una akili timamu utaibetia Roma hivi watu mbona hamjielewi hivi wewe Kwa akili Yako Roma mwisho kuiona ikiwa bingwa wa serie a ni lini nyie ndio wazee wa jero jero kubetia majina Ili mule million
 
Umedata wewe mpaka unabetia kampuni za mchongo hamia sportybet kampuni la kimataifa halina njaa za kubadilisha mechi ukiliwa umeliwa kweli ukishinda umeshinda kweli unabetiaje makampuni njaa Mimi nilishasema sporty bet wakihama Tanzania sitobet tena nione kampuni inayoeleweka siwezi kuwekeza sehemu ambayo haiaminiki
 
Sasa una akili timamu utaibetia Roma hivi watu mbona hamjielewi hivi wewe Kwa akili Yako Roma mwisho kuiona ikiwa bingwa wa serie a ni lini nyie ndio wazee wa jero jero kubetia majina Ili mule million
🤣🤣🤣 We jamaa haya bhana mi niliyakanyaga hii wiki na huwa cweki dau dogo ,,,,,
 
Back
Top Bottom