allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,160
- 766
Kwahiyo huamini kwamba aliweka hiyo stake???huwezi jua mfuko wa mtu humu.Acha uongo Leta huo mkeka wako uliobet 200k ukampa Roma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huamini kwamba aliweka hiyo stake???huwezi jua mfuko wa mtu humu.Acha uongo Leta huo mkeka wako uliobet 200k ukampa Roma
Hao ni matapeli tu Kila siku michezo Yao ni hiyo hamna kampuni hapo kampuni yeyote ambayo haitaki kusajiliwa tanzania sio ya kuiamini 100%1xbet wameanza tena usengerema wao. Wametoa kuwithdraw kwa Tigopesa
Hamna kitu hapo hiyo pesa huwezi kumpa timu kama Roma ambayo kwenye ligi haijui inatafuta nini inacheza Ili na yenyewe ionekane ipo serie aKwahiyo huamini kwamba aliweka hiyo stake???huwezi jua mfuko wa mtu humu.
Hiyo pesa uliiweka haujaibetiaSportybet kwenye ishu ya ku-Withdraw
Mfano Kuna Balance ya 100,000
Kuna withdrawable 600
Anaitaji kutoa 80,000 ila inagoma unalazimishwa kutoa 600.
Kwanini hawataki utoe kiwango unachoitaji wewe au ndo utaratibu wao mpya mwenye kujua hili jambo msaada ..
BETIKA wapo vizuri hata options zaoWakuu natafuta kampuni nzuri yenye option za kutosha ambayo Haina cash out nataka jiandae kitu kimoja hatari sana Kwa muhindi kinipe mamilioni
Tofauti na hiyo mkuuBETIKA wapo vizuri hata options zao
No Cashout
Umeyatimba,hizo promo zitawapotezahivi kudeposit inachukua muda gani paka hela isome kwenye acc, maana nimetuma pesa af sio salio kwenye acc ya paripesa
My BEST and TOP CLASS BETTING companyUmedata wewe mpaka unabetia kampuni za mchongo hamia sportybet kampuni la kimataifa halina njaa za kubadilisha mechi ukiliwa umeliwa kweli ukishinda umeshinda kweli unabetiaje makampuni njaa Mimi nilishasema sporty bet wakihama Tanzania sitobet tena nione kampuni inayoeleweka siwezi kuwekeza sehemu ambayo haiaminiki
Watu wanabetia kampuni kufata maneno ya watu kampuni ni sportybet Haina matangazo mengi ila kazi yake inaongea unachagua option Kwa uraisi na ushindi ukishinda dakika 1 mzigo ushalipwaUmeyatimba,hizo promo zitawapoteza
SPORTBETY ndio habari ya mjini
Kampuni za kubetia za Mrusi ndiyo bora. Kampuni zina kila machaguo unayoyataka kwa kubetia. Kuanza kwenye fouls, passes, medical team, saves nk. Sasa Sportybet ina nini? Mimi mwenyewe natumia Sportybet lakini ninapo taka kubeti Mkeka Wa kushinda kwa asilimia 99 naenda kwa mrusi.Watu wanabetia kampuni kufata maneno ya watu kampuni ni sportybet Haina matangazo mengi ila kazi yake inaongea unachagua option Kwa uraisi na ushindi ukishinda dakika 1 mzigo ushalipwa
Duh bado unabetia M-bet hadi sasa???Wazee wa kusuka mikeka, hivi mnaionaje M-Bet katika suala zima ka kutoa pesa? Nimeamua kuwa mwekezaji halafu jana mkeka umekubali ila mpaka sasa naona mizinguo kutoa pesa.
Sitaki ligi mzee endelea kuzibetiaKampuni za kubetia za Mrusi ndiyo bora. Kampuni zina kila machaguo unayoyataka kwa kubetia. Kuanza kwenye fouls, passes, medical team, saves nk. Sasa Sportybet ina nini? Mimi mwenyewe natumia Sportybet lakini ninapo taka kubeti Mkeka Wa kushinda kwa asilimia 99 naenda kwa mrusi.
Mkuu wote tunatumia Sportybet, ubora na udhaifu wake tunajua.Umeyatimba,hizo promo zitawapoteza
SPORTBETY ndio habari ya mjini