Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu natafuta kampuni nzuri yenye option za kutosha ambayo Haina cash out nataka jiandae kitu kimoja hatari sana Kwa muhindi kinipe mamilioni
 
-6othks.jpg

US Open ATP Today's Picks On PARIPESA.

Jisajili PARIPESA Na Bet Hapa 👇👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKA 👉👉 TIPS2424 upate bonus ya mpaka TZS 250000

Booking Code: 1X7NY
 
Sportybet kwenye ishu ya ku-Withdraw

Mfano Kuna Balance ya 100,000

Kuna withdrawable 600

Anaitaji kutoa 80,000 ila inagoma unalazimishwa kutoa 600.

Kwanini hawataki utoe kiwango unachoitaji wewe au ndo utaratibu wao mpya mwenye kujua hili jambo msaada ..
 
Umedata wewe mpaka unabetia kampuni za mchongo hamia sportybet kampuni la kimataifa halina njaa za kubadilisha mechi ukiliwa umeliwa kweli ukishinda umeshinda kweli unabetiaje makampuni njaa Mimi nilishasema sporty bet wakihama Tanzania sitobet tena nione kampuni inayoeleweka siwezi kuwekeza sehemu ambayo haiaminiki
My BEST and TOP CLASS BETTING company

SPORTBETY 👏👏👏
 
Wazee wa kusuka mikeka, hivi mnaionaje M-Bet katika suala zima ka kutoa pesa? Nimeamua kuwa mwekezaji halafu jana mkeka umekubali ila mpaka sasa naona mizinguo kutoa pesa.
 
Watu wanabetia kampuni kufata maneno ya watu kampuni ni sportybet Haina matangazo mengi ila kazi yake inaongea unachagua option Kwa uraisi na ushindi ukishinda dakika 1 mzigo ushalipwa
Kampuni za kubetia za Mrusi ndiyo bora. Kampuni zina kila machaguo unayoyataka kwa kubetia. Kuanza kwenye fouls, passes, medical team, saves nk. Sasa Sportybet ina nini? Mimi mwenyewe natumia Sportybet lakini ninapo taka kubeti Mkeka Wa kushinda kwa asilimia 99 naenda kwa mrusi.
 
Sitaki ligi mzee endelea kuzibetia
 
Back
Top Bottom