Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale ambao hawakuona bonus baada ya kujisajili na kudeposit, wajaribu kufanya yafuatayo.

1. Bonus inawekwa kwenye akaunti tofauti na akaunti kuu. Bonus inawekwa kwenye akaunti ya bonus automatically ukisha deposit na kama umejisajili kikamilifu.

2. Unaweza kuwasiliana na customer support, eleza shida yako na watakuwekea.

3. Kuona hela ya bonus, Switch Account kutoka kwenye main account kwenda kwenye bonus account. And vice verse
Mkuu naomba uwe unatuma na code za sportybet, maana naona wadau wengi wapo huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Share codes bas mkuu tumle kanji
Code ya ushindi ipo kwenye post ya 2 kwenye uzi huu. Nimeanza kuitumia jana nimekula 60K safiii ila kuitoa ndiyo bado kimbembe. Nimeamua kuwekeza rasmi kwenye soka, target ya kwanza kula 50K kwa siku.
 
Jamaa anasema hatujui kubeti,,,, binafsi nilimpa DC pia maana ulikuwa ni mkeka wa siku mbili na niliweka 200k kwa odds 9 jumla zilikuwa,, na alibaki yeye, braga na atletico na zote niliwapa win draw

Anyway ndo betting maana kuna mtu akiotea anaona wengine hawana akili na hawajui kufikili

Binafsi timu za Italy hata awe inter sitothubutu kuzigusa kwa option yeyote,,, nitavumilia ligi tatu tu Spanish, england na German na France ni win draw basi
Mkuu matimu ya Italy na France ni pasua kichwa. Kama unabetia matimu hayo, weka 1 or 2. Au chagua cards au corners. Hayo matimu ni maquma kabisa mkuu
 
Mkuu naomba uwe unatuma na code za sportybet, maana naona wadau wengi wapo huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mkuu inawezekana kabisa kutuma shida ya Sportybet ni hawana machaguo ya kutupa hela. Unakuta kampuni ya Mrusi imeanzia goli moja hata kama odd ni ndogo, Sportybet ina anza na over 2.5, mwenzake ana fouls, saves, shots on target, throw ins, yeye hana. Ndiyo maana napendelea Mrusi. Ila mara moja moja nitakuwa naleta code za Sportybet maana huwa natumia pia
 
i2jsd1.jpg

MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA.

Jisajili PARIPESA Na Bet Hapa. Bonyeza link 👇👇kujisajili.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKA 👉👉 TIPS2424 UPATE BONUS YA MPAKA TZS 250000 UKIDEPOSIT HELA KWA MARA YA KWANZA.

Booking Code: Q51RY
 
Sportybet kwenye ishu ya ku-Withdraw

Mfano Kuna Balance ya 100,000

Kuna withdrawable 600

Anaitaji kutoa 80,000 ila inagoma unalazimishwa kutoa 600.


Kwanini hawataki utoe kiwango unachoitaji wewe au ndo utaratibu wao mpya mwenye kujua hili jambo msaada ..
Hiyo pesa yote uliipata baada ya kubet?
 
Back
Top Bottom