Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wanangu wa kubet , fenerbahce fc katokaje maana nashindwa mcheki na amebaki yeye tuuu ???? Naogopa kuanguka
 
We tambua n
Hamna kitu hapo hiyo pesa huwezi kumpa timu kama Roma ambayo kwenye ligi haijui inatafuta nini inacheza Ili na yenyewe ionekane ipo serie a
imepoteza sababu ya Roma na nikionyesha stake zangu cdhani kama itakusaidia ,,,, ni mm ndo najitambua na nilichopoteza ni zaidi ya hiyo so take easy ndg,,,,, mm poyoyo nimepuyanga kwa roma
 
Mkuu lakini watu wanaponda kampuni za Mrusi ambazo zinatuingizia hela mara nyingi kuliko Sportybet, ila sisi leo tunaendelea kumpiga Mrusi, wao waendelee kumpiga mhindi😎. Baadae kidogo ngoja niandae.
Kiongozi kwangu naona mfumo wa Vodacom kutoa pesa kwa leo Paripesa hawajaweka kabisa ila kuweka pesa iko sawa.
 
-atnmvp.jpg

STAKE 100000 UPATE FAIDA YA 60000 KWENYE PARIPESA LEO.

Jisajili na Bet Kwenye PARIPESA kwenye link hizi hapa chini. Bet Hapa 👇👇

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

Booking Code: 5P8VY
 
Hizi ndio stake zako halisi! Sio zile za PariPesa unazotumiwa na mabosi wako kuingiza watu kwenye kutapeliwa
Sawa boss wangu. Maana wewe ndiye unayenijua vizuri. Wewe kwenye huo Mkeka Wa Sportybet umeona nimestake au nimetuma Code? Mimi nimetuma Code, nikuoneshe hela niliyo stake kwenye huo mkeka?
 
Sawa boss wangu. Maana wewe ndiye unayenijua vizuri. Wewe kwenye huo Mkeka Wa Sportybet umeona nimestake au nimetuma Code? Mimi nimetuma Code, nikuoneshe hela niliyo stake kwenye huo mkeka?
Kampuni yako ya kitapeli! Nimeweka buku tatu nataka ni withdraw wananiambia mpaka ifike buku saba, wewe ningekuona live ungeondoka unalia umeniingiza kwenye kutapeliwa
 
Back
Top Bottom