Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu wanabetia kampuni kufata maneno ya watu kampuni ni sportybet Haina matangazo mengi ila kazi yake inaongea unachagua option Kwa uraisi na ushindi ukishinda dakika 1 mzigo ushalipwa
dakika?????
yani jmosi mechi ya barca niliweka 2+,wale madogo walivochomoa tu mzigo ukaweka
sportybet ni :ALERTA:
 
Mkuu lakini watu wanaponda kampuni za Mrusi ambazo zinatuingizia hela mara nyingi kuliko Sportybet, ila sisi leo tunaendelea kumpiga Mrusi, wao waendelee kumpiga mhindi😎. Baadae kidogo ngoja niandae.

Kwako leo Paripesa inatoka pesa? Natumia line ya Vodacom............ila kuweka mfumo ipo sawa ila kutoa mfumo wa vodacom haipo😑😑
 
Mkuu lakini watu wanaponda kampuni za Mrusi ambazo zinatuingizia hela mara nyingi kuliko Sportybet, ila sisi leo tunaendelea kumpiga Mrusi, wao waendelee kumpiga mhindi😎. Baadae kidogo ngoja niandae.
Kwani sporty bet ni mhindi?
 
Li kampuni lako hamna kitu, niliweka hela hamna bonus nilioioata nikitaka nimtoe hela yangu inasema mpaka nitumiwe verification code kwenye namba ya simu na situmiwi hiyo verification code, simshauri mtu kutumia PariPesa! Njoo I kwenye sportybet mambo ni 🚨🚨 soon nitakuja kuanza kutulia codes za sportybet kama msimu iliopita
Ukiongea anataka ligi.
 
Mkuu hizo ni kampuni kubwa duniani, ili utumie lazima ujaze taarifa zako kikamilifu. Unaongea kuhusu verification code kwenye PARIPESA, vipi kama ungekuwa unatumia BC GAMES?
 
Yaani kitendo Cha kutumia kampuni ambayo haijasajiliwa tanzania ni risk sana maana wengine tunapenda kuweka mizigo mikubwa Sasa ikatokea ikazingua aisee ni kichomi
Sasa PARIPESA haijasajiliwa Tanzania? Huoni kabisa kuna kodi inakatwa na serikali kabisa? Ona kodi niliyolipa jana👇👇
Screenshot_20240826-130133_1.jpg
 
m-bet walinipga sana 2014 mpaka 2016....unashinda 30k unapewa 20k hamna pa kulalamika,ligi ya kibongo hamna na option zilikua chache mno.......
kwa sasa mimi na sportybet namwagiwa hera tu na kanji
Wakinifanyia uhuni nitawasagia kunguni hadi wakimbie nchi hii. Nimescreenshot mkeka wangu sasa sijui wataniambia nini na namba zao hazipatikani.

Hao sportybet wana app na hawana makandokando?
 
Back
Top Bottom