Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

aiseee u-busy sio mzuri,
game ya simba nilikwepa nikijua wanacheza dhidi ya singida black stars (sportybet waliandika singida bs), kumbe wanacheza na fountain gate?

hela za bure nimezikosa leo
 
aiseee u-busy sio mzuri,
game ya simba nilikwepa nikijua wanacheza dhidi ya singida black stars (sportybet waliandika singida bs), kumbe wanacheza na fountain gate?

hela za bure nimezikosa leo
Odds 1.22 unge-stake na kula kiasi gani?
 

๐Ÿ”ฅ โœ…โœ…โœ…๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฐFAIDA YA 85000 TAYARI IMESHAWEKWA MFUKONI KAMA NILIVYO SEMA.

100000 TO 186000 Imewekwa Kwenye Begi ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ’ฐ.

Kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili hapa chini kwenye links. Mkeka Wa Usiku utakuja hivi punde. ๐Ÿ‘‡.

PariPesa

PariPesa

Usisahau Kuweka PROMO CODE๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ TIPS2424 ili upate bonus ya mpaka TZS 250000 ambayo utaitumia kwa kubetia.
 
Basi sasa inatosha,,
Waambie hao pari wakupe tu hiyo akaunti.Kwani ungekuwa na mtaji kiasi hicho husingesumbuka kutujazia sever humu,.Pata tu hivyo vi bonas,bldfkn zako,
 
Basi sasa inatosha,,
Waambie hao pari wakupe tu hiyo akaunti.Kwani ungekuwa na mtaji kiasi hicho husingesumbuka kutujazia sever humu,.Pata tu hivyo vi bonas,bldfkn zako,
Mkuu huu uzi unahusu masuala ya betting. Maana yake mtu yeyote anaweza kuweka mkeka wake na matokeo pia. Sasa mkuu, niliweka mkeka na matokeo yametoka nimeshinda. Hiyo siyo editing mkuu. Ni uhalisia. Nadhani na wewe upo hapa kwa sasa unabeti, Vinginevyo ungekuwa kwenye nyuzi nyingine. Ina maana na wewe ukishinda kesho huwezi kupost ushindi wako hapa?
 
Pia server siyo shida haziwezi kujaa. Vinginevyo zingekuwa zishajaa. Hata kama ikijaa itanunuliwa nyingine. JamiiForums inataka wateja ambao ni mimi na wewe. Kama mimi sita post chochote basi JamiiForums haitaweza kujiendesha. Kwa hiyo post uwezavyo mkuu maana ndiyo lengo la kuanzishwa JamiiForums
 
hii mbinu yako ya odds chache inaendelea kunipa matunda mkuu,
haya mambo ya timu 10+ unajikuta umewaweka kina fiorentina!
 
Umekimbia? Tapeli wewe?? Unadanganya watu wajaze promo code yako ili upate offer??
Mkuu mimi siyo tapeli. Na siwezi kukimbia hapa. Kuniita tapeli umeenda mbali sana. Ulijaza taarifa zako kikamilifu? Namaanisha baada ya kujisajili, ulienda kujaza profile yako, ambayo inakutaka u verify namba yako au email? Ulijaza mkoa unakotoka nk?
 
Oya mbona hujibu??? Nimeweka hela na promo code sijapata hiyo bonus ya 250k
Pia mkuu, elewa kuwa bonus unapewa mara mbili ya kiasi cha pesa utakachoweka kwa mara ya kwanza. Kwa mfano Kama umeweka 100000, utaongezewa 100000 nyingine, na ukiweka 10000 utaongezewa 10000 nyingine. Huwezi kuweka 3000 ukapewa 250000. Wao wana double kwa kiwango utakachoweka kwa mara ya kwanza. Na hiyo 250k ni kiwango cha mwisho cha bonus anayo weza kupewa mtu
 
Paripesa wanazingua,kudeposit vodacom ipo. Ku withdraw vodac haipo !
 

Bado Game 2 Kuboom Million 5. Wangapi walicheza hizi odds 11? Kama ulicheza najua utakuwa unafurahia.

Wapo watakaosema nimeedit๐Ÿ˜Ž.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ