Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Ukapimwe vizuri afya ya akili kama umeiona m bet ipo clean kuzidi sporty betMkuu labda tunatofautiana mitazamo ndiyo maana nimekuuliza uwe specific ni kitu gani kilicho bora kwenye sporty bet ambacho hao wengine hawana ukiacha wingi wa mechi na aina za michezo.
Kwenye simu yangu ninazo M-Met, Sporty Bet na Betika na ukiniuliza mimi nimeipenda zaidi app ya M-Bet kwa sababu ni clean, haina mambo mengi na iko organized vizuri. Wengine tunaanza kuvutiwa na design ya kitu. Niuzie wazo la kupenda hizo zingine kwa kuniambia sifa zao.
Ndio app wanayoHivi SportPesa wana app? Nimejaribu kuitafuta mara kwa mara bila mafanikio.
Mimi nadhani platform salama zaidi ni hizi zilizowekeza hasa kibongo hadi kwa timu kubwa mfano SportPesa na M-Bet maana ikitokea wakafanya udhulumati wana vingi vya kupoteza tofauti na hizo zingine za vichochoroni, kesho anaweza kufunga akakimbia.
Sijajua sheria zinawalinda kiasi gani haya makampuni kwa upande wa kulipa pesa za wateja.
Mwamba anajipakulia minyama 🤣😂🤣
Kumbe huyu jamaa nae Huwa ni ofisa ubashiri
Hatari sana🔥Mwamba anajipakulia minyama 🤣😂🤣
Tungeendelea kujadiliana kistaarabu ingependeza zaidi.Ukapimwe vizuri afya ya akili kama umeiona m bet ipo clean kuzidi sporty bet
Huyo wa kuwa nae makini sana hata akiwa homeAkiwa home huwa ni shughuli nyingine
Siioni na ninayoiona sina uhakika kama ndiyo yenyewe.Ndio app wanayo
Mzee mbona unabisha vitu vya kitoto kubeti umeanza Jana au hivi m bet unaweza kufananisha na sportybet au unatafuta ligiTungeendelea kujadiliana kistaarabu ingependeza zaidi.
Achana na design maana hapo hatuwezi kulingana mitazamo, bado nasubiri jibu uzuri wa sporty bet kuzidi M-Bet na SportPesa hadi kuwafanya hao kuwa washamba ni nini hasa? Najua kuna sababu specific ndiyo nazisubiria uzitaje.
Achana na habari za nimeanza kubeti lini, sijajigamba kuwa najua saana kuhusu hizo mambo, kinachokushinda kusema hivyo vigezo ni nini? Ndiyo hivi hivi vya idadi ya mechi, idadi ya aina za michezo na kiasi unachoweza kubeti na kutoa au kuna vitu vingine? Kuwa specific bro, mbona nakuuliza swali rahisi sana ili tuelimishane.Mzee mbona unabisha vitu vya kitoto kubeti umeanza Jana au hivi m bet unaweza kufananisha na sportybet au unatafuta ligi
Ipo play storeSiioni na ninayoiona sina uhakika kama ndiyo yenyewe.
Mkuu betpawa wapo vizur sema walizingua kutoa bonus zao na kupunguza stakeMBET mpauko ulinganishe na SPORTBETY?
Acheni kujizima DATA
Washamba Wengi wapo MBET ila wajanja wote wapo SPORTBETY
SPORTBETY best kuanzia options accessibilities zake mpaka pages set up zao zipo vizuri
MBET anazidiwa hata na Betpawa🤣🤣🤣🤣🤣
mimi napenda Betpawa odds zake kubwa kubwaMBET mpauko ulinganishe na SPORTBETY?
Acheni kujizima DATA
Washamba Wengi wapo MBET ila wajanja wote wapo SPORTBETY
SPORTBETY best kuanzia options accessibilities zake mpaka pages set up zao zipo vizuri
MBET anazidiwa hata na Betpawa🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi unaakili timamu maswali Gani hayo unaniuliza wewe huoni si umesema unatumia kampuni zote huoni utofautiAchana na habari za nimeanza kubeti lini, sijajigamba kuwa najua saana kuhusu hizo mambo, kinachokushinda kusema hivyo vigezo ni nini? Ndiyo hivi hivi vya idadi ya mechi, idadi ya aina za michezo na kiasi unachoweza kubeti na kutoa au kuna vitu vingine? Kuwa specific bro, mbona nakuuliza swali rahisi sana ili tuelimishane.
Chukulia umekutana na mtu barabarani unataka kumshawishi atumie sporty bet na unategemea kulipwa posho kila ukila kichwa, utatumia vigezo gani ilivyonavyo sporty bet kumshawishi huyo mtu?
Duh!Hivi unaakili timamu maswali Gani hayo unaniuliza wewe huoni si umesema unatumia kampuni zote huoni utofauti
Weka hapa mechi ya Barca tulinganishe odds zake na kampuni nyingine tuone kama betpawa Wana odds kubwamimi napenda Betpawa odds zake kubwa kubwa