Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu labda tunatofautiana mitazamo ndiyo maana nimekuuliza uwe specific ni kitu gani kilicho bora kwenye sporty bet ambacho hao wengine hawana ukiacha wingi wa mechi na aina za michezo.

Kwenye simu yangu ninazo M-Met, Sporty Bet na Betika na ukiniuliza mimi nimeipenda zaidi app ya M-Bet kwa sababu ni clean, haina mambo mengi na iko organized vizuri. Wengine tunaanza kuvutiwa na design ya kitu. Niuzie wazo la kupenda hizo zingine kwa kuniambia sifa zao.
Ukapimwe vizuri afya ya akili kama umeiona m bet ipo clean kuzidi sporty bet
 
alonifundisha kamari alishinda milioni 9 kwa elfu 10....
kampni ilikua sportybet
jambo lilianzia j4 ya uefa likamalizika j2
nakumbuka wiki aloshinda yeye kesho yake j3 barcelona anakufa 3 na celta vigo kwake camp nou(wanaokumbuka mechi watanisahisha kama nimekosea matokeo ila barka alikufa)
ile hera j2 baada ya mechi ya mwisho ikawa inasoma kwenye akaunti yake ya sportybet
kilichochelewesha kupata hera ilikua ni kuna kaprocess kuitoa hera yote mana lain za simu kupokea hera mwisho ni 5m kama sikosei
so ilibidi wafanye process za kibenki......ilichukua siku 1 ya kazi
na hatimae j4 tukapata posho vijana wake wa karibu
.................sina uhakika kama kuna kampuni ntaiamini kwenye usalama wa mkeka na pesa zaidi ya sportybet
 
Hivi SportPesa wana app? Nimejaribu kuitafuta mara kwa mara bila mafanikio.

Mimi nadhani platform salama zaidi ni hizi zilizowekeza hasa kibongo hadi kwa timu kubwa mfano SportPesa na M-Bet maana ikitokea wakafanya udhulumati wana vingi vya kupoteza tofauti na hizo zingine za vichochoroni, kesho anaweza kufunga akakimbia.

Sijajua sheria zinawalinda kiasi gani haya makampuni kwa upande wa kulipa pesa za wateja.
Ndio app wanayo
 
Ukapimwe vizuri afya ya akili kama umeiona m bet ipo clean kuzidi sporty bet
Tungeendelea kujadiliana kistaarabu ingependeza zaidi.

Achana na design maana hapo hatuwezi kulingana mitazamo, bado nasubiri jibu uzuri wa sporty bet kuzidi M-Bet na SportPesa hadi kuwafanya hao kuwa washamba ni nini hasa? Najua kuna sababu specific ndiyo nazisubiria uzitaje.
 
Mzee mbona unabisha vitu vya kitoto kubeti umeanza Jana au hivi m bet unaweza kufananisha na sportybet au unatafuta ligi
 
Mzee mbona unabisha vitu vya kitoto kubeti umeanza Jana au hivi m bet unaweza kufananisha na sportybet au unatafuta ligi
Achana na habari za nimeanza kubeti lini, sijajigamba kuwa najua saana kuhusu hizo mambo, kinachokushinda kusema hivyo vigezo ni nini? Ndiyo hivi hivi vya idadi ya mechi, idadi ya aina za michezo na kiasi unachoweza kubeti na kutoa au kuna vitu vingine? Kuwa specific bro, mbona nakuuliza swali rahisi sana ili tuelimishane.

Chukulia umekutana na mtu barabarani unataka kumshawishi atumie sporty bet na unategemea kulipwa posho kila ukila kichwa, utatumia vigezo gani ilivyonavyo sporty bet kumshawishi huyo mtu?
 
Screenshot_20240827-191856_1.jpg

MKEKA WA USIKU WA BASEBALL⚾⚾ KWENYE PARIPESA. AMKA NA USHINDI

Jisajili PARIPESA na Bet Hapa 👇👇

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKA 👉👉 TIPS2424 UPATE BONUS YA MPAKA TZS 250000 UKIDEPOSIT HELA KWA MARA YA KWANZA.

Booking Code: L9HXZ
 
MBET mpauko ulinganishe na SPORTBETY?

Acheni kujizima DATA

Washamba Wengi wapo MBET ila wajanja wote wapo SPORTBETY

SPORTBETY best kuanzia options accessibilities zake mpaka pages set up zao zipo vizuri

MBET anazidiwa hata na Betpawa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu betpawa wapo vizur sema walizingua kutoa bonus zao na kupunguza stake
 
MBET mpauko ulinganishe na SPORTBETY?

Acheni kujizima DATA

Washamba Wengi wapo MBET ila wajanja wote wapo SPORTBETY

SPORTBETY best kuanzia options accessibilities zake mpaka pages set up zao zipo vizuri

MBET anazidiwa hata na Betpawa🤣🤣🤣🤣🤣
mimi napenda Betpawa odds zake kubwa kubwa
 
Achana na habari za nimeanza kubeti lini, sijajigamba kuwa najua saana kuhusu hizo mambo, kinachokushinda kusema hivyo vigezo ni nini? Ndiyo hivi hivi vya idadi ya mechi, idadi ya aina za michezo na kiasi unachoweza kubeti na kutoa au kuna vitu vingine? Kuwa specific bro, mbona nakuuliza swali rahisi sana ili tuelimishane.

Chukulia umekutana na mtu barabarani unataka kumshawishi atumie sporty bet na unategemea kulipwa posho kila ukila kichwa, utatumia vigezo gani ilivyonavyo sporty bet kumshawishi huyo mtu?
Hivi unaakili timamu maswali Gani hayo unaniuliza wewe huoni si umesema unatumia kampuni zote huoni utofauti
 
Back
Top Bottom