Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa wahuni jana wamezingua kila sehemu.
View attachment 3081916
hapo ww ndo umezingua kuna ligi sio za kucheza Over corner 12.5 hao Spain,Italia,ureno,na France kule sio wa over 12 labda itokee mara chache sana tena timu moja au mbili tu hao ni mwendo under Corner ww kama unataka over 10.5 corner nenda norway elteserien na uholanzi kwa kina PSV
 
Naomba strategy unayotumia ndugu naweza kuwa inspired
plan ni moja,kila wikiend naanda elfu 20....siku ya kwanza jmosi natafuta odss 5 i na j2 natafuta ods 5
so.....
kanuni zangu ni timu hazizidi 6 kwa mkeka, hakuna kumpa mtu ushindi aliye ugenini(hata man city akiwa ugenini simpi), kuna ligi kama bundesliga wao kila weekend mechi karibu zote wanatoa goli 2 so ntatia walau mechi mbili za bundesliga 2+...
what happens.....
kwa experience yangu kwa mwezi nakula wiki mbili ambayo ni sawa na 100k na nitaingia mkenge wiki mbili ambayo ni sawa na kupoteza 40k
so hapo ni nikipiga wiki zote 4 faida yangu ni 200k
NB: kuna mwezi hupati kitu (mfano mmoja mwisho wa msimu uliopita niliingia mkenge mwezi wote sikula hata mkeka mmoja so hasara ilikua 80k)
NB: Beti kistaarabu
MUHIMU : hiyo pesa nayobetia ni bajeti kutoka kwenye mshahara so hata ikiliwa haiathiri mwenendo wa maisha
 

πŸ”₯ACCUMULATOR OF THE DAY ON PARIPESA.

Booking Code: 6X841

Weka Stake Yako PARIPESA. Kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili kwenye link hizo hapo chini na Promo Code Weka TIPS2424 πŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODEπŸ‘‰πŸ‘‰ TIPS2424

Weka Promo Code TIPS2424 ili upate bonus ya mpaka TZS 250000 Utakapo Deposit.
 
Kwema humu ndugu zangu, edit na wewe inaweza ikawa wewe ndo una bahati
Code 99C8A9
Odds 120.54
Kampuni Sportybet
 
Paripesa: zaux9, gpux9, 3gxx9, 9tyx9

22bet: j9tx9, h5ux9, ehxx9, xryx9

Helabet: ca7x9, 9pux9, 24xx9, z7yx9

1xbet: qztx9, 6mux9, d3xx9, u6yx9
 
Paripesa: zaux9, gpux9, 3gxx9, 9tyx9

22bet: j9tx9, h5ux9, ehxx9, xryx9

Helabet: ca7x9, 9pux9, 24xx9, z7yx9

1xbet: qztx9, 6mux9, d3xx9, u6yx9
Mkuu code zako zote za 1xbet ni incorrect
 

Attachments

  • 24F62388-C0CD-4771-8345-0D3E36610616.jpeg
    62.9 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…