Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Hawa jamaa wanaojiita Salamba Tv wana huduma ya kuuza mikeka wanayodai ni ya uhakika na kwamba kati ya siku 5 huwezi kosa siku 4.
Nimejaribu mara kadhaa (nilihisi wanapata access ya fixed match) lakini hawa nao wanabet kama mimi na wewe kibaya zaidi mikeka yao ni yahovyo kupita kiasi.
Kama unabet nivema ufanye analysis mwenyewe.