Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa jamaa wanaojiita Salamba Tv wana huduma ya kuuza mikeka wanayodai ni ya uhakika na kwamba kati ya siku 5 huwezi kosa siku 4.

Nimejaribu mara kadhaa (nilihisi wanapata access ya fixed match) lakini hawa nao wanabet kama mimi na wewe kibaya zaidi mikeka yao ni yahovyo kupita kiasi.

Kama unabet nivema ufanye analysis mwenyewe.
 
Screenshot_20240829-225312_1.jpg
 
Mark my words betting isn't for punnters it's for stake holders,, na watu wengine,, Madrid leo hashi diii hizo nilipewe zq ndaniiiii na nikazalauuu
 
Real Madrid peke yake amenichania kmmmmk nilimpa ashinde 1H lakini yeye amefanyiwa ukatili wa kijinsia.
 
Hawa jamaa wanaojiita Salamba Tv wana huduma ya kuuza mikeka wanayodai ni ya uhakika na kwamba kati ya siku 5 huwezi kosa siku 4.

Nimejaribu mara kadhaa (nilihisi wanapata access ya fixed match) lakini hawa nao wanabet kama mimi na wewe kibaya zaidi mikeka yao ni yahovyo kupita kiasi.

Kama unabet nivema ufanye analysis mwenyewe.
Hizo nguvu mngetumia kwenye uzalishaji..
 
Back
Top Bottom