Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

timilishaa tips
 
Attachments

  • 1725091110822.jpg
    1725091110822.jpg
    166.8 KB · Views: 3
Wakuu napasuka sana kwenye kubet nyie mnafanyaje wazee au ndio bet is not for everyone kila nikimfukuzia kanji nakutana na za uso..kadri navyopata hasira ndio nazadikuumia..em wataalam nipeni mbinu
 
Mkuu basketball huna ujuzi nayo
Nina ujuzi nazo mkuu ila sasa hivi league nyingi nzuri zipo likizo. Nyingi zitarudi mwezi wa 10. Hata leo hii kuna mechi kama 7 ila ni mechi ambazo hazifai kubeti. Lakini pia na ujuzi wa Baseball, Tennis, Football, Ice Hockey nk
 
TIMIZA TIPSPK 3 MPK 5
 
Attachments

  • 1725092540569.jpg
    1725092540569.jpg
    314.2 KB · Views: 3
Nina ujuzi nazo mkuu ila sasa hivi league nyingi nzuri zipo likizo. Nyingi zitarudi mwezi wa 10. Hata leo hii kuna mechi kama 7 ila ni mechi ambazo hazifai kubeti. Lakini pia na ujuzi wa Baseball, Tennis, Football, Ice Hockey nk
Mi mgen hum jf kuku dm nafanyaje mkuu
 
Binafsi ckatai kuwa Brighton ni wazuri ila staili yao ya uchezaji wakikutana na timu makini wanaogelea magoli maana wanafunguka sana na beki inapoteana kwenye kuziba wakati wa kushambuliwa ila ukiingia kwenye mfumo wao kwishney
 
💯
NNapoli 1x
Arsenal w
Mancity ov 2.5
Ac millan win or drw
Aston villa ov 1.5
Dortmund ov 1.5
Tsg hoffeinheim ov 1.5
Stake all ur mng
 
Back
Top Bottom