Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Naelewa ninachokisema, na yeye amenielewaLive game mkuu ilikuwa...
Naelewa ninachokisema, na yeye amenielewaLive game mkuu ilikuwa...
mkuu nadhan wakusoma anamaanisha hutakiwi kusema bet won kwa kitu ambacho haukupost wote tukione inakua haina maana kwetuMbona sijakuelewa mkuu, just tel me tatizo ni nini?Maana sielewi iyo niliyoweka BET WON ina nini
Aisee bado sijawaelewa kwani kuna ishu gani Mkuu?Live game mkuu ilikuwa...
Ooooh thanks Mkuu. Aisee sasa mbona ishu yenyewe ni ya kuongea tu na kunielekeza bila kuhojiana kama kwa shari ama hasira maana nadhani humu sote wanaume!Wengine humu tumeingia jioni baada ya kurudi makazini sasa hatuwezi jua nini kiliendeleamkuu nadhan wakusoma anamaanisha hutakiwi kusema bet won kwa kitu ambacho haukupost wote tukione inakua haina maana kwetu
Mkuu calm down!!Unakosea sana unaposema mtu amekuelewa wakati akikuomba explanation ya ukisemacho wewe humpi, sasa atakuelewa vipi kwa mfano?Naelewa ninachokisema, na yeye amenielewa
Nakuheshimu mkuu naomba twende inbox, naona unajifanya hunielewiMkuu calm down!!Unakosea sana unaposema mtu amekuelewa wakati akikuomba explanation ya ukisemacho wewe humpi, sasa atakuelewa vipi kwa mfano?
Sio kwamba "najifanya sikuelewi" bali SIKUKUELEWA mpaka uyo mdau alipotoa maelezo yake!!Sasa mfano nikijifanya siielewi ntapata faida zipi?Mi nadhani tuache tu hizi habari maana tutakapoendelea hatutakua tofauti na watoto wadogo, maana sioni logic ya sisi watu wazima kubishana bila sababu ya msingi tena "online" kwa kitu kidogo kisichokua na mantiki, Let us end this conversation, binafsi naona utakua Ujinga na Utoto uliopitiliza kuanza kufatana sijui inbox acha tu usije inbox Mkuu maana sita reply kituNakuheshimu mkuu naomba twende inbox, naona unajifanya hunielewi
haahahaha ukasahau ofisi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Poa mkuu usiku mwema.
Kwanza umesababisha niliwe nimekalia kubishana na wewe nikasahau kubinya kende Kanji kanipitia. Duh
Aaggggggrrr! **** nabhughatri alanfiye **** ntutume amagambno galanhodoye chu **** wamesriyi BH ingilija **** kanjibaihaahahaha ukasahau ofisi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Waliofata hii tuendelee kuomba maaana so far mkeka uko vizuri...Hizi Odd nane ni nyingCagliari Calcio - Spal 2013
Cagliari Calcio
1.96
Chelsea FC - West Ham Utd
X (DRAW)
4.25
Odds 8.24
mie mwenyewee naendelea hadi kieleweke nmeweka 15 kaniharibia breidablik kapata goal dakika ya5MREJESHO... Baada y jana kuweka timu 20 droo in 10 minutes ....kuna wajinga wa3 wanamisifa sana,, nimeambulia cha mbavu ila hii option bhana haiitaji akili mingi, ni kuzipachika tuu... kesho tena nimooo hadi kieleweke
Kesho tujulishane mapema humu ndani coz zipo za kumwagamie mwenyewee naendelea hadi kieleweke nmeweka 15 kaniharibia breidablik kapata goal dakika ya5
MREJESHO... Baada y jana kuweka timu 20 droo in 10 minutes ....kuna wajinga wa3 wanamisifa sana,, nimeambulia cha mbavu ila hii option bhana haiitaji akili mingi, ni kuzipachika tuu... kesho tena nimooo hadi kieleweke
Niliyasema mapema. Ngoja nilale tu ukimwamini sana mtu ni matatizoChelsea vs Westham draw
Chelsea GG