Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Subiri kesho .... Wakishinda wataweka....
Hahahahahaaaaaa
Subiri kesho .... Wakishinda wataweka....
-3.5 unamaanisha under 3.5 au ni handcap msaada mkuuHelsinki
Aalborg
Chelsea 1x
estoril 1x
Orenburg -3.5
kasatsu -3.5
Nyie mnao omba mikeka mbona hamjawaji weka mkeka hata wa kupoteza watu?
Mnataka mtafniwe tu sio
Fanya homework
Mi leo Chelsea win&3+
kete yangu ya mwisho leo (blanket la kulalia)
TRIPLE "B" AWAY WIN
1. Bayern
2. Barcelona
3. Braga
odds 7+
GOOD NIGHT
under 3.5-3.5 unamaanisha under 3.5 au ni handcap msaada mkuu
huyu Buddy kapatwa na jambo gani? Raimundo? kulger? mtzmweusi? Sumve?
au mnaapply kitu kinaitwa kila nafasi itajililia? mpo wapiiiii