Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 9
 

Attachments

  • IMG_20160815_123339_531.JPG
    IMG_20160815_123339_531.JPG
    25 KB · Views: 43
Wakuu katika mechi za leo hizi
finland :HJK VS KUPS
BILA SHAKA HJK WIN 1.41
KWA NINI NASEMA HJK ANASHINDA?
Yupo nafasi ya 2 amefunga magoli 35 karuhusu magoli 21
Na KUPS Yupo nafasi ya 7 amefunga magoli 22 kafungwa magoli 18.

DENMARK:AALBORG VS ESBEJE
BILA SHAKA AALBORG WIN 1.44
Sababu yupo nafasi ya 6 kafunga magoli 6 kafungwa 4
naESBJE anaburuza mkia katika nafasi ya 14 kafunga magoli 3 amefungwa magoli 12 na kuwa na deni la goli 9
hivyo kwa hela ya vocha hapa panakutoa.

ROMANIA : Dinamo Bucherest vs Fc vol hapa ni pagumu na usipotafiti lazima uangukie pua kwani dinamo yupo nafasi ya 3 na Fc vol yupo nafasi ya 4 hapa ni draw au dinamo anawin just imagine first.

ITALY CUP: CAGLIARI VS SPAL hapa naona Sare .

YA chelsea vs whu usiulize weka chelsea W nenda live scores kachek line up za timu halafu uje uniambie ,
BAHATI NJEMA WAKUU
 
Curzon gg, austria lustenau 2x, aalborg 1x, csmi gg, wisla plock gg, cagliari 2+, amkar 2x
 
ivi wakuu inakuwaje ukiwa MTU umekosea reference no afu ukajastuka ushalipia(premier) VP kuna uwezekano hela ikarudi kweli. Maana naonaga M Bet ukikosea wanairudisha.
 
ivi wakuu inakuwaje ukiwa MTU umekosea reference no afu ukajastuka ushalipia(premier) VP kuna uwezekano hela ikarudi kweli. Maana naonaga M Bet ukikosea wanairudisha.
Premier hawarudishi mimi mwenyewe nimesha wahi kosea reference namba malipo yalifanyika nazan ela ilienda kwenye A/C ya mtu mwngne
 
Premier hawarudishi mimi mwenyewe nimesha wahi kosea reference namba malipo yalifanyika nazan ela ilienda kwenye A/C ya mtu mwngne
Mi wamewahi nirudishia ..baada ya kama wiki na upuuuzi tena baada ya kuwatumia email na kuwaambia ntawashitaki ....
 
dah ngoja niwatumie email na biti Kali nione reaction yao wakuu
 
Mkeka wa Leo

Rakvere JK Tarvas= 2X
Brazil=win
Dinamo moskva=win
Fc TPS Turku=win
Dundark=1X
Jk nomme karju=win
Vaprus parnu=2X
Jk maag tammeka=2X
Shamrock rovers=win
 
Back
Top Bottom