Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
15739 kuna mtu kasema anazijua zaidi ya hata namba za mke wakeJaman meomba msaada kwa anaejua namba ya mkekabet ile 15.... Nimeisahau plll,
15739 kuna mtu kasema anazijua zaidi ya hata namba za mke wakeJaman meomba msaada kwa anaejua namba ya mkekabet ile 15.... Nimeisahau plll,
tpaul: samahani nikuulize kitu hivi kuna siku umewahi kula kweli? Nikiona avator yako nacheka sanahongera zako mkuu.
huwa nakulapo mara moja moja mkuu lakini kanji huwa ananionea sana kama avatar yangu inavyoonesha.tpaul: samahani nikuulize kitu hivi kuna siku umewahi kula kweli? Nikiona avator yako nacheka sana
all the best mkuu.kete yangu ya mwisho leo (blanket la kulalia)
TRIPLE "B" AWAY WIN
1. Bayern
2. Barcelona
3. Braga
odds 7+
GOOD NIGHT
hahahahaha! mkuu umemaliza kabisa.POLEE CHIEF ,,Hahahahaa STROMSGOSET Vabalandyee kumadako gabibijoo..
nmecheka saana leo kuna jamaa kabeti full time under 0.5 kwa timu 2 zilikuwa dakika ya 10 zkawa na odd ya 7.5 nyingine ina 6 , sasa imefka dkika ya 45 akawa anashangilia ananiambia muhind amekaa akawa anasema mbona hawatumi pesa sasa , nkamuuliza umebetia ht akasema ndioo, kumbe hakujua bhana , sasa ninavobeti nkaona timu ina odd 6.3 under 0.5 ft nkajua kuwa nae kachanganyaa, nmemfata kawa mpolee ,, kanjibah sio mjingaaaa
BoooomMan u win
Psv win
Arsenal GG
Bayern over 1.5
Hahahahahaha na mimi boom boomBoooom
Bet Won [emoji95] [emoji95]
Dah! Hongera sana mkuu.Nlizungua post iliyopita buddy muite wa kosoma leo nlitia mzigo wa maana odds 200 hzo
hongera Chief hzo odds ndefu balaa
hongera sana mkuu
Mkuu Fafanua Kidogo Hapo Wana Maana Gani? Gold, Value na Risk.Ebu piteni hapa muone hawa jamaa leo waliamka vzr Free Football Predictions | Free Soccer Predictions - GoldenBet.com
Subiri kesho .... Wakishinda wataweka....wakuu leteni mikeka ya leo
Jaman meomba msaada kwa anaejua namba ya mkekabet ile 15.... Nimeisahau plll,