Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona sijakuelewa mkuu, just tel me tatizo ni nini?Maana sielewi iyo niliyoweka BET WON ina nini
mkuu nadhan wakusoma anamaanisha hutakiwi kusema bet won kwa kitu ambacho haukupost wote tukione inakua haina maana kwetu
 
mkuu nadhan wakusoma anamaanisha hutakiwi kusema bet won kwa kitu ambacho haukupost wote tukione inakua haina maana kwetu
Ooooh thanks Mkuu. Aisee sasa mbona ishu yenyewe ni ya kuongea tu na kunielekeza bila kuhojiana kama kwa shari ama hasira maana nadhani humu sote wanaume!Wengine humu tumeingia jioni baada ya kurudi makazini sasa hatuwezi jua nini kiliendelea
 
Mkuu calm down!!Unakosea sana unaposema mtu amekuelewa wakati akikuomba explanation ya ukisemacho wewe humpi, sasa atakuelewa vipi kwa mfano?
Nakuheshimu mkuu naomba twende inbox, naona unajifanya hunielewi
 
MREJESHO... Baada y jana kuweka timu 20 droo in 10 minutes ....kuna wajinga wa3 wanamisifa sana,, nimeambulia cha mbavu ila hii option bhana haiitaji akili mingi, ni kuzipachika tuu... kesho tena nimooo hadi kieleweke
 

Attachments

  • mreje.png
    11.3 KB · Views: 33
Nakuheshimu mkuu naomba twende inbox, naona unajifanya hunielewi
Sio kwamba "najifanya sikuelewi" bali SIKUKUELEWA mpaka uyo mdau alipotoa maelezo yake!!Sasa mfano nikijifanya siielewi ntapata faida zipi?Mi nadhani tuache tu hizi habari maana tutakapoendelea hatutakua tofauti na watoto wadogo, maana sioni logic ya sisi watu wazima kubishana bila sababu ya msingi tena "online" kwa kitu kidogo kisichokua na mantiki, Let us end this conversation, binafsi naona utakua Ujinga na Utoto uliopitiliza kuanza kufatana sijui inbox acha tu usije inbox Mkuu maana sita reply kitu
 
Poa mkuu usiku mwema.
Kwanza umesababisha niliwe nimekalia kubishana na wewe nikasahau kubinya kende Kanji kanipitia. Duh
 
MREJESHO... Baada y jana kuweka timu 20 droo in 10 minutes ....kuna wajinga wa3 wanamisifa sana,, nimeambulia cha mbavu ila hii option bhana haiitaji akili mingi, ni kuzipachika tuu... kesho tena nimooo hadi kieleweke
mie mwenyewee naendelea hadi kieleweke nmeweka 15 kaniharibia breidablik kapata goal dakika ya5
 
mie mwenyewee naendelea hadi kieleweke nmeweka 15 kaniharibia breidablik kapata goal dakika ya5
Kesho tujulishane mapema humu ndani coz zipo za kumwaga
MREJESHO... Baada y jana kuweka timu 20 droo in 10 minutes ....kuna wajinga wa3 wanamisifa sana,, nimeambulia cha mbavu ila hii option bhana haiitaji akili mingi, ni kuzipachika tuu... kesho tena nimooo hadi kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…