Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Levante alipopata goli la pili nikaonuka kwa furaha mara var mzigoni kitu no goal - offside

Acha safari iendelee
 
Watu walikuwa wanafata uepukaji wa kodi na wingi wa option.
Sasa kigezo cha kodi hakipo tena, wanabaki na wingi wa option.
Kodi si inarudi kwa njia ya bonus? Kuna kampuni kama ukiweka mkeka wa kuanzia odds 1.61+ na ukaweka game kuanzia 5 mpaka 10 hiyo bunus unayopewa ni nyingi kuliko hiyo kodi wanayoikimbia.
Kingine. Hizo option nyingi kwa kawaida nyingi hatutumii. Mfano mimi natumia sportybet na betpawa. Unakuta game 1 ina machaguo mpaka 400+ (kwa sportybet) sasa huoni kama machaguo menginre hayana maana?
 
wale wa option ya magoli, Mrusi hatufai. anabana sana odds. kwenye sportybet over 1.5 utakuta ina 1.3 odds. ukija 1xbet utakuta 1.19 odds. inakera sana
Mkuu Sportybet ndiye anayebana sasa. Sportybet kwenye option ya magoli anacho fanya ni kuongeza idadi ya magoli kwa mfano mara nyingi utakuta ameweka goli zianzie over 2.5 ila odd yake kubwa. Wakati Mrusi utakuta ameanza na goli moja, yaani over 0.5 au over 1.5, lakini odd ndogo. Mrusi kila option ambayo Sportybet ana bana yeye ameweka. Angalia hata corner tu.
 

1.4 MILLION BOOMπŸ€‘πŸ€‘πŸ’°πŸ’°

πŸ”₯πŸ”₯βœ…βœ…πŸ†πŸ€‘πŸ’°πŸ’°βœ…βœ…πŸ”₯πŸ’°

500000 - 1400000 πŸ’°πŸ’°πŸ€‘πŸ€‘.

Jiunge PARIPESA Leo Kama Upo Tayari Kushinda Leo. Bonyeza Link Hii Hapa Chini KujiungaπŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODEπŸ‘‰πŸ‘‰ TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili Upate Bonus Ya Mpaka TZS 250000.
 
Sportybet Wameshakula deal na akina mbape watuchanie mikeka yetu
 
Wakuu nawakumbusha tu, tubetie hela ndogo 200,500 au buku kusaka milioni 15,20, 40,n.k acheni kubetia laki au milioni
 

800000 BOOM ON PARIPESA. πŸ’°βœ…βœ…πŸ”₯πŸ€‘πŸ€‘πŸ”₯πŸ’°

πŸ”₯πŸ”₯βœ…βœ…πŸ†πŸ€‘πŸ’°πŸ’°βœ…βœ…πŸ”₯πŸ’°

800000 Bagged πŸ’°πŸ’°πŸ€‘πŸ€‘.

Upo Tayari Kwa Game Za leo? Jiunge PARIPESA Kwa Kutumia Link Hizo Hapo Chini. Promo Code Weka TIPS2424, Deposit Kisha Subiri Code Ya LeoπŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODEπŸ‘‰πŸ‘‰ TIPS2424
 
Tunasubiri mkeka wa leo mkuu
 
Mzee app ya mrusi wa 1xbet ni ya dunia nyingine. Kuna radha fulani unaipata ukibetia 1xbet ambayo haupati popote vile.😁😁.sijui unanielewa?
Kwa mtu anayebet 1x2 dc na magoli hawezi kukuelewa mkuu

Ukiindoa changamoto ya mawakala 1xbet na ndugu zake hakuna wa kuwafikia
 
Bonus ni mtego mbaya sana kwa wakamalia maana inakubidi ujaze game na odd ngumu ili upate bonus na wakati huo unapunguza kabisa uwezekano wa kushinda

issue sio wingi wa machaguo tu issue hapo ni machaguo ya aina gani
1xbet unamachaguo karibu ya kila kitu kinachoendelea uwanjani

Wakamalia wengi wanachojua ni 1x2 Dc magoli kona, kwa machaguo haya utaona kampuni zote zipo sawa
 
Kwa mikeka ya direct win na double chance sportybet inafaa ila kwa option za magoli, corner etc hayo makampuni ya warusi ndio yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…