Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SPORTBETY SPORTBETY SPORTBETY

ODDS:- 2

CODE:- A69CE5C

Nickname:- KAMATIA CHIN
Screenshot_20240909-130214.png
 
Bonus ni mtego mbaya sana kwa wakamalia maana inakubidi ujaze game na odd ngumu ili upate bonus na wakati huo unapunguza kabisa uwezekano wa kushinda

issue sio wingi wa machaguo tu issue hapo ni machaguo ya aina gani
1xbet unamachaguo karibu ya kila kitu kinachoendelea uwanjani

Wakamalia wengi wanachojua ni 1x2 Dc magoli kona, kwa machaguo haya utaona kampuni zote zipo sawa
Acha dharau wewe, et 1x2 na dc leta mkeka wako wa izo option unazokulaga na mm nilete mikekea ya 1x2, nyie ndo mnaobeti na jero jero mkija um maneno mengiii
 
Acha dharau wewe, et 1x2 na dc leta mkeka wako wa izo option unazokulaga na mm nilete mikekea ya 1x2, nyie ndo mnaobeti na jero jero mkija um maneno mengiii
Hajielewi huyo yaani anajifanya mjuaji kwenye betting Haina unafuu Kila option ni ngumu
 
Maana yake hela haijaenda mkuu. Kama wamesema deposit maana yake haijatumwa
Hivi hayo makampuni yenu ya kirusi mbona Kila siku mnalalamika kuweka na kutoa pesa tatizo nini maana haipit8 siku kampuni la kirusi halijalalalikiwa hapa inaonekana wababaishaji
 
Hajielewi huyo yaani anajifanya mjuaji kwenye betting betting Haina unafuu Kila option ni ngumu
Alaf mtu anaebeti na kula huwez kumkuta anapiga domo cjui option nyingi, cjui dc mara wakala, mtu aliekuwa serious na kubet huwa ana masoko yake maalu na ni haya haya ya kawaida hao wa maneno mengi ndo wale wanaokopi mikeka ya nigeria anajifanya na yy pro punter
 
Hamna kitu hapo hahahaha waee wa jero jero bila kupata odds 1000 hawezi kustake maana MTAJI jero🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi hayo makampuni yenu ya kirusi mbona Kila siku mnalalamika kuweka na kutoa pesa tatizo nini maana haipit8 siku kampuni la kirusi halijalalalikiwa hapa inaonekana wababaishaji
Mkuu kuna sababu kadhaa zinaweza kupelekea. Kwenye Suala la mdau hapo juu inaonekana kabisa hela haijaenda kabisa kwenye kampuni ndiyo maana wamemwambia transaction rejected. Kwa hiyo ajaribu kuangalia kama ana salio la kutosha. Wangesema muamala umekamilika hapo ingekuwa kesi nyingine
 
Hamna kitu hapo hahahaha waee wa jero jero bila kupata odds 1000 hawezi kustake maana MTAJI jero🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaaa, masoko yao sasa wanayoyafuata huko mixer kusumbuana na wakala amwekee 2500 utakuta ten minutes draw odds 1.09 😂
 
Kama wame reject inawezekana hauna salio la kutosha. Kama wamesema rejected maana yake haijaenda
sawa mkuu itabidi niwasiliane na wenyewe vodacom maana waliniambia muamala umeenda na salio lilibaki wamenionyesha ,au mkuu kuna masharti mengine kama unajisajili kwa mara ya kwanza?
 
ip1z5p.jpg

BET OF THE DAY ON PARIPESA

Booking Code: XSHR3

Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA, Jiunge Leo. Bonyeza Link Hii Hapa Chini👇👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉 TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 wakati wa kujiunga upate bonus ya mpaka TZS 250000.
 
72sd06.jpg

PLAY THIS MIDNIGHT GAME IT WILL BOOM ON PARIPESA ⚾⚾⚾.

Stake On PARIPESA. If you don't have PARIPESA account Register Here To Bet 👇👇.

PariPesa

PariPesa

Booking Code: L12Z3

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

STAKE FAST
 
Back
Top Bottom