Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Acha dharau wewe, et 1x2 na dc leta mkeka wako wa izo option unazokulaga na mm nilete mikekea ya 1x2, nyie ndo mnaobeti na jero jero mkija um maneno mengiiiBonus ni mtego mbaya sana kwa wakamalia maana inakubidi ujaze game na odd ngumu ili upate bonus na wakati huo unapunguza kabisa uwezekano wa kushinda
issue sio wingi wa machaguo tu issue hapo ni machaguo ya aina gani
1xbet unamachaguo karibu ya kila kitu kinachoendelea uwanjani
Wakamalia wengi wanachojua ni 1x2 Dc magoli kona, kwa machaguo haya utaona kampuni zote zipo sawa
Hajielewi huyo yaani anajifanya mjuaji kwenye betting Haina unafuu Kila option ni ngumuAcha dharau wewe, et 1x2 na dc leta mkeka wako wa izo option unazokulaga na mm nilete mikekea ya 1x2, nyie ndo mnaobeti na jero jero mkija um maneno mengiii
Hivi hayo makampuni yenu ya kirusi mbona Kila siku mnalalamika kuweka na kutoa pesa tatizo nini maana haipit8 siku kampuni la kirusi halijalalalikiwa hapa inaonekana wababaishajiMaana yake hela haijaenda mkuu. Kama wamesema deposit maana yake haijatumwa
Alaf mtu anaebeti na kula huwez kumkuta anapiga domo cjui option nyingi, cjui dc mara wakala, mtu aliekuwa serious na kubet huwa ana masoko yake maalu na ni haya haya ya kawaida hao wa maneno mengi ndo wale wanaokopi mikeka ya nigeria anajifanya na yy pro punterHajielewi huyo yaani anajifanya mjuaji kwenye betting betting Haina unafuu Kila option ni ngumu
Hamna kitu hapo hahahaha waee wa jero jero bila kupata odds 1000 hawezi kustake maana MTAJI jeroπ€£π€£π€£π€£π€£Alaf mtu anaebeti na kula huwez kumkuta anapiga domo cjui option nyingi, cjui dc mara wakala, mtu aliekuwa serious na kubet huwa ana masoko yake maalu na ni haya haya ya kawaida hao wa maneno mengi ndo wale wanaokopi mikeka ya nigeria anajifanya na yy pro punter
nimeambiwa muamala umetumwa lakin sasa sijui shida iko wapi mkuuMaana yake hela haijaenda mkuu. Kama wamesema deposit maana yake haijatumwa
Mkuu kuna sababu kadhaa zinaweza kupelekea. Kwenye Suala la mdau hapo juu inaonekana kabisa hela haijaenda kabisa kwenye kampuni ndiyo maana wamemwambia transaction rejected. Kwa hiyo ajaribu kuangalia kama ana salio la kutosha. Wangesema muamala umekamilika hapo ingekuwa kesi nyingineHivi hayo makampuni yenu ya kirusi mbona Kila siku mnalalamika kuweka na kutoa pesa tatizo nini maana haipit8 siku kampuni la kirusi halijalalalikiwa hapa inaonekana wababaishaji
Kama wame reject inawezekana hauna salio la kutosha. Kama wamesema rejected maana yake haijaendanimeambiwa muamala umetumwa lakin sasa sijui shida iko wapi mkuu
Hahaaaaa, masoko yao sasa wanayoyafuata huko mixer kusumbuana na wakala amwekee 2500 utakuta ten minutes draw odds 1.09 πHamna kitu hapo hahahaha waee wa jero jero bila kupata odds 1000 hawezi kustake maana MTAJI jeroπ€£π€£π€£π€£π€£
sawa mkuu itabidi niwasiliane na wenyewe vodacom maana waliniambia muamala umeenda na salio lilibaki wamenionyesha ,au mkuu kuna masharti mengine kama unajisajili kwa mara ya kwanza?Kama wame reject inawezekana hauna salio la kutosha. Kama wamesema rejected maana yake haijaenda
Hapana hakuna masharti mengine mkuusawa mkuu itabidi niwasiliane na wenyewe vodacom maana waliniambia muamala umeenda na salio lilibaki wamenionyesha ,au mkuu kuna masharti mengine kama unajisajili kwa mara ya kwanza?
Basi sawa inawezekana kuna shida nyingineHapana hakuna masharti mengine mkuu
pamoja mkuuHapana hakuna masharti mengine mkuu
β β β ππππ―π―β π€π€π°π°π₯π₯View attachment 3091477
BET OF THE DAY ON PARIPESA
Booking Code: XSHR3
Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA, Jiunge Leo. Bonyeza Link Hii Hapa Chiniππ.
PariPesa
PariPesa
PROMO CODEπ TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 wakati wa kujiunga upate bonus ya mpaka TZS 250000.