Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamu tumi izo code humuNaona jamaa yuko vizuri jana aliweka code zake kama ulifuata mechi za jana zote zilitoa leo tunasubilia mechi zilizobaki
Tanzania anakunyonga hapo mkuu ugenini anajikutaga anakaza 🤣🤣🤣
Nimeuliza tu kwq lengo la kukuza uelewa tu mkuu ila sio kama kuna mtu anataka kuniuzia oddsKuwa makini...unaelekea kupigwa mara mbili (kanji na muuza odds)
Duh,,,, 🙄 🙄 🙄 kwamba hata jua liwake hatuwezi shinda dahHuu mkeka umetembea vizuri ila ungeurekebisha kidogo. Hizo timu ulizozipa zishinde ungezilinda (DC n total goals na uweke U 3.5) historia inaonyesha timu za Africa haswa za taifa game kufikisha goals zaidi ya 3 ni maajabu.
Tanzania hata jua liwake hatuwezi kuwafunga Guine wakiwa kwao.
So. Mlinde Guine na magoli yasifike ma4.
Kazi njema.