KOROSHO BOMBA
Senior Member
- May 11, 2024
- 186
- 313
Duuh aisee Starz wamekuumbuaHuu mkeka umetembea vizuri ila ungeurekebisha kidogo. Hizo timu ulizozipa zishinde ungezilinda (DC n total goals na uweke U 3.5) historia inaonyesha timu za Africa haswa za taifa game kufikisha goals zaidi ya 3 ni maajabu.
Tanzania hata jua liwake hatuwezi kuwafunga Guine wakiwa kwao.
So. Mlinde Guine na magoli yasifike ma4.
Kazi njema.
Betting haitabiriki, kuwa makini utapigika.