Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
Game ya kenGold ikiisha mnishtue nichukue 11000 yangu, Beer 4, sigara za buku. Siku imeishaWewe unatumia demo account mzee tafuta watu wa kuwadanganya hiyo michezo ya mwaka 2015 ndio walikua wanapigwa watu Sasa hivi utawadnganya wakuja ungekua hauedit Wala usingejaribu kubishana na Mimi ila kwakua huo ndio ukweli lazima ubishane