Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mzee hiyo michezo tunaijiua vizuri usione humu ndani wakuja hiyo michezo tunaijiua sportybet huwezi kudanganya edit sababu Kuna code unaweka unaona mkeka mzima na jamaa code zake tulishaweka na tukaona mkeka mzima kashinda kweliBasi tuishie hapa, hata nikileta halisi Utasema ni edit. Umejuaje kuwa nimeedit? Iliyoeditiwa inakuwaje na ambayo haijaeditiwa inakuwaje? Usicho jua ni kuwa kampuni ambayo unaweza ku manipulate watu kwa ku edit ni Sportybet na siyo kampuni za Mrusi.