Mkuu hawa jamaa wananiumiza hapaNakuamini sana mkuu huna baya, ila Leipzig na Union Berlin wanatuchania,, daaaah
Liverpool nao wanatoa boko uwanjani. Wanaweza kushinda ila sidhani kama watafikia matarajio yetuNakuamini sana mkuu huna baya, ila Leipzig na Union Berlin wanatuchania,, daaaah
Pole mkuu, hata mimi amenichania MkekaAmeondoka na mikeka yangu yote
Daaah aiseeOneni hukuView attachment 3095795
Naenda kulala daaah, acha kabisa yani doooohLiverpool nao wanatoa boko uwanjani. Wanaweza kushinda ila sidhani kama watafikia matarajio yetu
Naomba Nottingham aongeze goli hapo ili mkeka wetu uendelee kupumuaDaaah aisee
Hapo Nottingham akifunga goli la pili matumaini yetu yatarejeaNaenda kulala daaah, acha kabisa yani dooooh
Nimekumbuka ulisema utampiga sana muhindi vipi mkuu tupeane mbinu.Liver naye anaharibuView attachment 3095796
Kesho nayo sikuMajini ya muhindi ayoo
Bado kuna game za usikuKesho nayo siku
Aaaaah nalala kidogo, siku nikiweka pesa ndogo aaaah nakula, nikitia mzigo mazonge kibao daah, Nasubiria ukitupia mkeka wa usiku.. Poleni sana jamaniHapo Nottingham akifunga goli la pili matumaini yetu yatarejea