Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
kajipigiaAtasepa na kijiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kajipigiaAtasepa na kijiji
Nakuamini sana mkuu huna baya, ila Leipzig na Union Berlin wanatuchania,, daaaahMimi mwenyewe nimewatumia meseji kuwa watu wanashindwa kupokea pesa zao wakitoa. Wamesema ngoja wafuatilie hilo suala.
Majini ya muhindi ayooLiverpool na brighton sasa wafanye mambo
Mkuu hawa jamaa wananiumiza hapaNakuamini sana mkuu huna baya, ila Leipzig na Union Berlin wanatuchania,, daaaah
Liverpool nao wanatoa boko uwanjani. Wanaweza kushinda ila sidhani kama watafikia matarajio yetuNakuamini sana mkuu huna baya, ila Leipzig na Union Berlin wanatuchania,, daaaah
Pole mkuu, hata mimi amenichania MkekaAmeondoka na mikeka yangu yote
Daaah aiseeOneni hukuView attachment 3095795
Naenda kulala daaah, acha kabisa yani doooohLiverpool nao wanatoa boko uwanjani. Wanaweza kushinda ila sidhani kama watafikia matarajio yetu
Naomba Nottingham aongeze goli hapo ili mkeka wetu uendelee kupumuaDaaah aisee
Hapo Nottingham akifunga goli la pili matumaini yetu yatarejeaNaenda kulala daaah, acha kabisa yani dooooh