Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bado hii takataka nyingine sijui itakuwaje
 

Attachments

  • Screenshot_20240915-202519_SportyBet.jpg
    1,008.3 KB · Views: 7
Kazi kwisha nili flex mara 1 ila bado hata sijakosa mechi hata moja na imebaki mechi moja to hapo chini
 

Attachments

  • Screenshot_20240915-203344_SportyBet.jpg
    531.5 KB · Views: 7
Wakamaria wenzangu nawasalimia sana.
Naomba kuuliza, hii jackpot ya betpawa mechi 17 huwa wanatowa bonus ukipatia kuanzia mechi ngapi ??
 
Mhindi ndio anataka watu kama nyie haya nenda kamfate game ijayo akisema tena inaonesha umeingia Jana kwenye hii tasnia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huwa sichukui mikeka ya watu mkuu
 
Mkuu tunataka madini kama hayo. Siyo mtu anaweka code wengine huweka kwa mihemko na mapenzi.
Kwa upande wa yellow card msimu huu naona ziko zaidi EPL
 
Hii mechi Brazil kweli siyo home win🤔🤔🤔🤔 ngoja niipe home win au nisubiri kuona dk kumi za mwanzo mchezo unakwendaje
 

Attachments

  • Screenshot_20240915-223033_SportyBet.jpg
    454 KB · Views: 4
MIDNYT DRW PLY SINGLE
BONYEZA UPATE SPORTBET CODE
 

Attachments

  • IMG_20240915_223757_935.jpg
    73.7 KB · Views: 4
Mkuu tunataka madini kama hayo. Siyo mtu anaweka code wengine huweka kwa mihemko na mapenzi.
Kwa upande wa yellow card msimu huu naona ziko zaidi EPL
Game ya spurs v arsenal yellow card over 1.5 first half zilikuwa na odds 1.6+. Wakati nabeti akafika mgeni nikashondwa kuendelea. Matokeo yake zimetoka card 5 first half hiyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…