Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ligue gani lazima useme
 
Ila game za weekend hii zimekuwa hazieleweki. Timu kubwa kadhaa zimezungua

Hata leo ni siku Kiongozi.........angusha code tutembee wote maana naamini iko sikuโœ…โœ…โœ…๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ
 
Ni kweli mkuu, lakini yatupasa tusisahau kuwa betting ni uwekezaji ambao mwenye akili mmoja alikaa na kufikiria kwa kina, na kuona akianzisha huu mradi basi utamlipa sana
Kabisa mkuu. Ila na sisi tujitahidi kubet kwa malengo kuhakikisha inatulipa. Kila wiki hakikisha unapiga hesabu ya faida uliyo ingiza kupitia betting. Ikitokea kwa wiki una baki na mtaji wako wa betting ulio anza nao mwanzoni mwa wiki na faida imepatikana hata kama ni 100000 basi jua inakulipa.
 
Ha ha ha ha acha ukorofi.
Binafsi niseme tu namheahimu sana Pdidy na naheshimu sana jitihada zake..

Ijapokuwa naamini code zake huwa hazina msaada kwa wakamalia maana anadondosha mingi kiasi kwamba mtu anaona kama jamaa kaamua tu na ikitokea mtu kuchukua basi kwa kuona ngoja niende na hii...

Pdidy kama angeweza kubadilisha chaguzi zake kuwa pesa kwa wadau basi jamaa ana jicho flani hivi..

Ila kwa sasa anachokifanya ni kama site za prediction tu ,, matimu kibao chagua mwenyewe kitu ambacho ni 50/50

Ushauri wangu mwamba tupia mikeka hata miwili au mitatu, atakuwa bonge la msaada kwa wadau,,, ila anapotoa timu cjui 30+ mmh

Ila mwamba ana jicho flani hivi , sema ni kama hajiamini ndo maana anatupia tu kila anachokiona...

Samahani Pdidy kama nimekukwaza ni ka mtazamo kangu tu,,, na nitaendelea kuheshimu unachokifanya maana kuna muda maji mengi , naokota yako moja natembea !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ