Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
linatia hasiraLIVERPOOL HILI LITIMU 😡 😡 😡
Villa kashinda 3ngoja tuone ila kashapigwa
vip astonvila
Sana yani,, mpaka saivi uwezekano wa kushinda ni mdogo sana labda sare,, ingekuwa City wala nisingekuwa na presha 🥺linatia hasira
Liverpool anachana mkeka leoVilla kashinda 3
acha tu aseSana yani,, mpaka saivi uwezekano wa kushinda ni mdogo sana labda sare,, ingekuwa City wala nisingekuwa na presha 🥺
kaka hapo vip kuna dalili kweli Liverpool kutoboaSana yani,, mpaka saivi uwezekano wa kushinda ni mdogo sana labda sare,, ingekuwa City wala nisingekuwa na presha 🥺
Liverpool kachukua usingiz leo.Aisee ii time usingizi unagoma kabisaa yaani 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mda bado mkuu Liverpool wanajua thamani ya direct win🤣🤣🤣🤣Liverpool kachukua usingiz leo.
Naona kaongeza,, kukaa kwa kutulia labda awe anaongeza kwa range ya goli mbili maana anytime anachomolewa huyo.kaka hapo vip kuna dalili kweli Liverpool kutoboa
Everton mzito ngoja tuone kipindi cha piliMda bado mkuu Liverpool wanajua thamani ya direct win🤣🤣🤣🤣
mda unaruhusu lakinNaona kaongeza,, kukaa kwa kutulia labda awe anaongeza kwa range ya goli mbili maana anytime anachomolewa huyo.