dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,352
wanachexa netbal, goli 7?Hii game ya buyern ni fire aisee
wanachexa netbal, goli 7?Hii game ya buyern ni fire aisee
Alaf kuna goal nne zimekataliiwa...yan ni mvuawanachexa netbal, goli 7?
mie nilisuka miwili tu, fulhM kasepa na mmoja, kabaki madrid nae naona anamalizia utumbo wake!Madrid anaenda kuning'oa figo na maini leo kudadeki
Mime CashoutKweli kanji akikupa cashout usifikirie mara mbili kuichukua
Wengi mnoo tumé Cashout
Sema wewe ndio ume cashout 🤣😂🤣, kucashout inaumiza pale ambapo mechi zote zimetick lazima ujute uamuzi ulioufanyaWengi mnoo tumé Cashout