Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Manina mkeka wa laki saba nimecash out 80000 maana uyo Fleetwood amenichanganya
Amebaki Fleetwood town ov 0.5
Real Madrid win 1
Sporting cp ov 1.5
 
stoke na mwenzake wanatuua wengine, hawaongezi goli na cashout kanji kabana
 
Kimoyomoyo unajiuliza ilikuwaje hii Team nikaweka 🤣🤣🤣🤣🤣

Huku kutaka ODDS unazotaka wewe hapa NDIO jibu lake tunalipata
 
Hii ndo raha ya kuflex, mpaka saivi nimechaniwa na game moja, bado mbili za kesho, na niliflex by 3, hata zikichana za kesho zote, ya bia nitapata nzuri tu 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…