Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
We jamaa umejaa ukatili kinyama. Hizo game 3 za mwanzo tayari ulikuwa ushammaliza...dah una hisia kali sana.View attachment 3099173Hii ndo raha ya kuflex, mpaka saivi nimechaniwa na game moja, bado mbili za kesho, na niliflex by 3, hata zikichana za kesho zote, ya bia nitapata nzuri tu 😁😁