Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Kwa mfano umebet mechi 15 halafu unaupa bima mkeka wako kwa kupunguza mechi kadhaa tufanye 3 kwahiyo mechi zikichana 3 kushuka chini unalipwa.Kuflex maana yake nini mkuu kwenye betting na ni kampuni gani yenye hyo option
Ila kumbuka mara nyingi stake iwe ya maana