The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Jana Lugano alikuwa ana odds 6.10 kushinda yeye na GG...
Option ya timu ishinde na GG ni bonge moja la option la kukutoa kwenye umaskini kama utaweza kustake pesa nzuri lakini kwa game zako mbili tu....au game moja tu.
Mfano unastake 20,000Tzs kwa Odds 10+ za game mbili kwa option ya Timu ishinde na GG, lazima upate 200,000Tzs.
Mpaka aje akumalize 200K hujamkamata tena 😅😅😅😅😅😅