Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Yes Arsenal ni fav kushinda hii game...... na uwezekano wa kushinda upo
Lakini Atalanta ni shughuli nyingine akiwa kwake tena kwenye CL
Hii game iangaliwe kwa jicho la tatu
Kwa mie mshabiki wa Arsenal nakwenda nayo na No Red Card odd 1.2
Halafu nakaa naagalia game bila pressure ya kufungwa na kulost mkeka 😂