Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe kuna kampuni ukicash out mechi zilizobaki zikishinda bado unapata hela ni gani hiyo mkuu
Ni kampuni karibia zote ukifanya partial cash out. Yaani mfano wamekupa ofa ya cash out ya laki moja lkn unaamua kuvuta elf70, elf30 nyingine unaiacha so kama mechi zilizobaki zikawin utalipwa kwa dau la elfu30 uliyokuwa umebakisha hapo awali lkn kama hazijawini hizo mechi hiyo elfu30 itakuwa lost (nyekundu tusiyoipenda wakamaria)
 
Hii kampuni ya sportybet wanazingua hapa...umetengeneza mkeka unataka kubeti wanakuletea huu ujumbe bila ya kukuonyesha which is 👉 same market...
Kwa hiyo inakuwa ngumu kujua hizo baadhi zinazo kwamisha mkeka kusajiliwa ni zipi ...kama huu hapa chini👇
 

Attachments

  • Screenshot_20240923-222912_SportyBet.jpg
    115 KB · Views: 15
ATALANTA vs COMO

Postponed

MVUA KUBWA mnoooooo, aiseee

Imeghairishwaa, Mbwa hawa Mechi pesa hii kenge hawa,alibakia. Yeye tu nimpige kanji vizuri,ila utakuta pesa wanakata kubwa

Subiria niangalie mikeka yangu yoote niliopost Mchana,kisha nije na Boom,mmoja mmoja

Ila nasubiria kwanza waweke VOIDED au itachezwa kesho,sijui

Narudi

 
Hii mpaka kesho
 
Mechi ilikuwa na odds 1.51 kwa hiyo tumekatwa nusu nzima ya tulichotaka kula. Mimi sijakubali namfata leo tena ili nipate hela yangu.
 
LEO NAYO SIKU TUCHUNGULIE
 

Attachments

  • 1727154958270.jpg
    148.5 KB · Views: 16
Wakamalia King'amuzi hiki hapa, raha ya mkeka utandike na kuusindikiza live!

Wakati Msimu wa ligi mbalimbali Duniani ukiwa umerejea, Canal Plus inakuwezesha kuangalia mechi zote kubwa katika ligi mbalimbali Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA, LIGUE 1 n.k kwa gharama nafuu kabisa!
Jipatie King'amuzi cha Canal Plus kwa 100k tu ushuhudie live mechi mbalimbali kwa ubora wa Full HD
0714209702
 
Kuna malipo mengine zaidi ya hayo ya manunuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…