Mkuu ishu siyo green kama colour but just a win and paid out kwa kiasi nilichokuwa nimebakisha kwenye cashoutukishacashout wanaweka green haijalishi matokeo ya mwisho
waulize ambao hawakucashout Enyimba kwao ni Red
Kumbe kuna kampuni ukicash out mechi zilizobaki zikishinda bado unapata hela ni gani hiyo mkuuMkuu ishu siyo green kama colour but just a win and paid out kwa kiasi nilichokuwa nimebakisha kwenye cashout
Ni kampuni karibia zote ukifanya partial cash out. Yaani mfano wamekupa ofa ya cash out ya laki moja lkn unaamua kuvuta elf70, elf30 nyingine unaiacha so kama mechi zilizobaki zikawin utalipwa kwa dau la elfu30 uliyokuwa umebakisha hapo awali lkn kama hazijawini hizo mechi hiyo elfu30 itakuwa lost (nyekundu tusiyoipenda wakamaria)Kumbe kuna kampuni ukicash out mechi zilizobaki zikishinda bado unapata hela ni gani hiyo mkuu
Imetiki gaflaHujatumwa kumpa AL NASSR tuliishakuambia huyu siku hizi sie🤣🤣🤣🤣
Yaani mwiiishooo aisee hii team hiiImetiki gafla
duhh hao ni mitambo yao imeyatimba ama ni terms zao?Mkuu ishu siyo green kama colour but just a win and paid out kwa kiasi nilichokuwa nimebakisha kwenye cashout
Hii mpaka keshoATALANTA vs COMO
Postponed
MVUA KUBWA mnoooooo, aiseee
Imeghairishwaa, Mbwa hawa Mechi pesa hii kenge hawa,alibakia. Yeye tu nimpige kanji vizuri,ila utakuta pesa wanakata kubwa
Subiria niangalie mikeka yangu yoote niliopost Mchana,kisha nije na Boom,mmoja mmoja
Ila nasubiria kwanza waweke VOIDED au itachezwa kesho,sijui
Narudi
View attachment 3104873