Mechi ilikuwa na odds 1.51 kwa hiyo tumekatwa nusu nzima ya tulichotaka kula. Mimi sijakubali namfata leo tena ili nipate hela yangu.ATALANTA vs COMO
Postponed
MVUA KUBWA mnoooooo, aiseee
Imeghairishwaa, Mbwa hawa Mechi pesa hii kenge hawa,alibakia. Yeye tu nimpige kanji vizuri,ila utakuta pesa wanakata kubwa
Subiria niangalie mikeka yangu yoote niliopost Mchana,kisha nije na Boom,mmoja mmoja
Ila nasubiria kwanza waweke VOIDED au itachezwa kesho,sijui
Narudi
View attachment 3104873
Uzuri wanaanzia mda walioishia wanamaliziaATALANTA vs COMO
Kesho muda ule uleeee
Nawasubiri wao tuuuu💪💪💪
Kuna malipo mengine zaidi ya hayo ya manunuzi?Wakamalia King'amuzi hiki hapa, raha ya mkeka utandike na kuusindikiza live!
Wakati Msimu wa ligi mbalimbali Duniani ukiwa umerejea, Canal Plus inakuwezesha kuangalia mechi zote kubwa katika ligi mbalimbali Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA, LIGUE 1 n.k kwa gharama nafuu kabisa!
Jipatie King'amuzi cha Canal Plus kwa 100k tu ushuhudie live mechi mbalimbali kwa ubora wa Full HD
0714209702View attachment 3105060View attachment 3105061
Haikuchezwa kabisaaaa,MVUA iliwazingua kabla ya Mechi wanaanza mwanzoUzuri wanaanzia mda walioishia wanamalizia
Aiseee naiona drw ile mechiHaikuchezwa kabisaaaa,MVUA iliwazingua kabla ya Mechi wanaanza mwanzo