Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Mechi ilikuwa na odds 1.51 kwa hiyo tumekatwa nusu nzima ya tulichotaka kula. Mimi sijakubali namfata leo tena ili nipate hela yangu.ATALANTA vs COMO
Postponed
MVUA KUBWA mnoooooo, aiseee
Imeghairishwaa, Mbwa hawa Mechi pesa hii kenge hawa,alibakia. Yeye tu nimpige kanji vizuri,ila utakuta pesa wanakata kubwa
Subiria niangalie mikeka yangu yoote niliopost Mchana,kisha nije na Boom,mmoja mmoja
Ila nasubiria kwanza waweke VOIDED au itachezwa kesho,sijui
Narudi
View attachment 3104873