1xbet G: p2f17
Paripesa: aef17
Helabet: 1hf17
1xbet G: qch17
Helabet: 3sh17
Donnie Charlie much respect kuna moja hapo imetoa sijui ni ipi kati ya hizo ila atalanta sisi ni pipoC1q17 1xglobal👩💻
Xb617 helabet🧑🏿💻
Atalanta mpuuzi sana kakatiza treni langu team 28 zimetoa zilibaki saba tu betpawa.Donnie Charlie much respect kuna moja hapo imetoa sijui ni ipi kati ya hizo ila atalanta sisi ni pipo
ATALANTA WinYanga win
Barca win
Liverpool win
Aaaah wapi....ATALANTA Win
benchi lake halieleweki,
huyu ndio mchawi wetu leo
Yaani Betting kitu cha ajabu mnoo
Yaani leo kila Team ya Italy watu wanaikimbia🤣🤣🤣
Nilishaapa timu za Italy kutozigusa jana cjui ilikuwaje dah,,,,, kweli Atalanta wa kungwa na como tena nyumbani na siyo cup ni ligi kuu,,,, Italy nyoko ...ATALANTA Win
Italy ni wahuni kama wahuni wengine,,,, yanga pamoja na kwamba yuko away awezi fanya ujinga ujinga wa kupoteza gem kwa ken-gold,,, sahau hiloKiongozi ni kwamba tunajisahau mno...........na kukariri option moja wakati mrusi ameweka option kama zote ila bado tunasimamia moja tu ya kushinda ambapo itatugharimu.
Mfano leo yanga wengi tunaamini atashinda moja kwa moja ila ninachoamini mpira inadunda⚽⚽⚽⚽