Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pjj9u 1xglobal👩‍💻

5tj9u paripesa🧑🏿‍💻

Vd49u megapari👩‍💻

Jn49u helabet🧑🏿‍💻

Ay49u betwinner👩‍💻
 
Kiongozi ni kwamba tunajisahau mno...........na kukariri option moja wakati mrusi ameweka option kama zote ila bado tunasimamia moja tu ya kushinda ambapo itatugharimu.
Mfano leo yanga wengi tunaamini atashinda moja kwa moja ila ninachoamini mpira inadunda⚽⚽⚽⚽
Italy ni wahuni kama wahuni wengine,,,, yanga pamoja na kwamba yuko away awezi fanya ujinga ujinga wa kupoteza gem kwa ken-gold,,, sahau hilo
 
1xbet G: 7z6zu

22bet: t96zu

Paripesa: ecrzu

Megapari: n2rzu

Helabet: gbrzu

Betwinner: barzu
 
Mkuu Helabet umewajaribu wako sawa kutoa na kuweka hela kwa mobile payment?

Mawakala wa 1xbet sasa hivi wanzingua sana aisee
LEo yenyewe nimehamisha kuja tigopesa imekuja chap kama sportybet wala haijafikiri.
 
Kiongozi ni kwamba tunajisahau mno...........na kukariri option moja wakati mrusi ameweka option kama zote ila bado tunasimamia moja tu ya kushinda ambapo itatugharimu.
Mfano leo yanga wengi tunaamini atashinda moja kwa moja ila ninachoamini mpira inadunda⚽⚽⚽⚽
Italia wao hawana mpira kudunda ni wauza mechi maarufu sana labda mgeni wa hii sekta
 
Kiongozi ni kwamba tunajisahau mno...........na kukariri option moja wakati mrusi ameweka option kama zote ila bado tunasimamia moja tu ya kushinda ambapo itatugharimu.
Mfano leo yanga wengi tunaamini atashinda moja kwa moja ila ninachoamini mpira inadunda⚽⚽⚽⚽
Ni kweli Mdau
Direct wins zinatucost mnoo

ATALANTA vs COMO mie mikeka miwili niliipa Corners 6.5 na ikatoa

Kuna options ya Bookings/Cards

Kama leo Corners over 6.5 zimeachiwa kibao UEFA

Young Africans nimempa mechi yote overall 1.5
 
Naomba ufafanuzi wa "draw no bet"
Kwa mfano " man u vs Twente " umeweka home
Mechi ikiisha draw mkeka inakuwa kama ujabeti ila home akiwin mkeka umetiki ...mechi ikiisha draw mkeka unabaki hai ila wanakurefund kwenye hiyo mechi
 
Back
Top Bottom