+255 657 628 194 namba ya wakala mfate atakupa maelekezo utatoa ela 888starz flesh tuMimi wananipa ujumbe huu
+255 657 628 194 namba ya wakala mfate atakupa maelekezo utatoa ela 888starz flesh tuMimi wananipa ujumbe huu
Pale ni kama soko la kariakoo kila bidhaa ( odds) unazotaka zipoNaunga mkono hoja nshawahi kuokota moja ya odd 100
Won kivipi hapo?Young African 2/2
1.8 won
Kaongoza mwanzo mwishoWon kivipi hapo?
Mbona naona imetoka 2/X
Half time / full time ✅ na sio first half / second half❌Kaongoza mwanzo mwisho
Hoya fanyeni rebet huu mkeka utopolo kachana kakosa goli mbili 😁😁😁Sportbert odds 600
DDE9DA
Wacha uongo bao ni moja tu lazima kuwe na X hapo hivyo ulivyo andika maana yake yanga ilitakiwa kushinda kila kipindi..2/2 ni sawa sawa na option ya away win both wavesYoung African 2/2
1.8 won
Mkuu unajua maana ya hii option HT/FT? Ungeijua basi usingeleta ubish angalia screen shot hapo juu.Wacha uongo bao ni moja tu lazima kuwe na X hapo hivyo ulivyo andika maana yake yanga ilitakiwa kushinda kila kipindi..2/2 ni sawa sawa na option ya away win both waves
Umechanganya kidogo, akishinda mpaka half time hata game ikiisha ivyo ivyo unakua umeshinda, mfano mechi ya yanga leo iyo option ya 2/2 imetoaWacha uongo bao ni moja tu lazima kuwe na X hapo hivyo ulivyo andika maana yake yanga ilitakiwa kushinda kila kipindi..2/2 ni sawa sawa na option ya away win both waves
Huyu aliminya p♡mbu zote hadi zikazama ndani na hakusaidika.Duuh kuna mtu hapati usingizi leo
Odds 1.19 zilikuwa kidogo nzuri ilikuwa Haina haja ya magoliYanga msenge kweli
Dah!?Duuh kuna mtu hapati usingizi leo