Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Umechanganya kidogo, akishinda mpaka half time hata game ikiisha ivyo ivyo unakua umeshinda, mfano mechi ya yanga leo iyo option ya 2/2 imetoaWacha uongo bao ni moja tu lazima kuwe na X hapo hivyo ulivyo andika maana yake yanga ilitakiwa kushinda kila kipindi..2/2 ni sawa sawa na option ya away win both waves