Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,438
- 15,674
Unapotumia kampuni ya mrusi kuna kitu kimoja unatakiwa kujua kwamba karibu yote yanafanana.
Kwamba usishangae ukadeposit vizuri halafu wakati wa kutoa ukashangaa hakuna option za kutole.
Au una mkeka wako unaendelea vizuri lakini siku ya pili ukashangaa kampuni haipo na haiingiliki ukiwa Tanzania.
Rejea 22bet.