Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wanangu odd 2 hizo
Screenshot_20240927-103851.png
 
Ipo siku kanji nitamliza mamilioni kwa visenti tu maana matreni nisiyo post huwa yanakenda vizuri sana najua siku siyo nyingi
 
Attachments

  • Screenshot_20240927-110733_SportyBet.jpg
    Screenshot_20240927-110733_SportyBet.jpg
    145.2 KB · Views: 3
betPawa

Odds 9.19
code KONVGPY
 
Attachments

  • Screenshot_20240927-115010.jpg
    Screenshot_20240927-115010.jpg
    279.1 KB · Views: 3
Habari wana jamvi, nina changamoto moja naomba mwenye ufahamu anisaidie..

Nilideposit 888starz kwa Vodacom Mpesa nikazungusha mtaji kama wiki nikaipata faida..sasa nilipofanya uamuzi wa ku-withdraw nikakuta huduma ya kutoa kwa mobile haipo, nikajaribu kutafuta wakala na yeye kachemka, naomba mwenye kujua namna anielimishe.

Salute kwenu wawekezaji.
 
View attachment 3108029
Accumulator Of The Day On PARIPESA 🔥

Total Odds: 6.589

Huna Akaunti Ya PARIPESA? Jiunge PARIPESA Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata 250000 Bure Kwenye PARIPESA Ukijiunga PARIPESA Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit Pesa Kwenye Akaunti Yako

Booking Code: VYKD8
account iko tayari ya helabet
View attachment 3107334
TODAY'S 2+ ODDS ON PARIPESA

Bet PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwenye Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code👉 TIPS2424

PariPesa Code👉 Q7NHX

STAKE 100000 TO WIN 200000.
Account ya helabet iko tayari sema shida iko hapa kwenye ku deposit inaandika hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20240927-120436_Helabet.jpg
    Screenshot_20240927-120436_Helabet.jpg
    61.4 KB · Views: 2
Habari wana jamvi, nina changamoto moja naomba mwenye ufahamu anisaidie..

Nilideposit 888starz kwa Vodacom Mpesa nikazungusha mtaji kama wiki nikaipata faida..sasa nilipofanya uamuzi wa ku-withdraw nikakuta huduma ya kutoa kwa mobile haipo, nikajaribu kutafuta wakala na yeye kachemka, naomba mwenye kujua namna anielimishe.

Salute kwenu wawekezaji.
Hapo ni kusubiri itengemae.... au laah jaribu Astropay...

Japo nami ndio nahangaika nayo.
Astropay ni online wallet ipo play store. Ndio wadhamini wa Wolverhampton.
 
Hapo ni kusubiri itengemae.... au laah jaribu Astropay...

Japo nami ndio nahangaika nayo.
Astropay ni online wallet ipo play store. Ndio wadhamini wa Wolverhampton.
Astropay nimejaribu, yes pesa inatoka kule 888starz na inainhlgia astropay, tatizo ni kuitoa Astropay kuja Mpesa
 
wddnql.jpg

ROLL OVER DAY ONE ON PARIPESA 📌

Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Booking Code: 434G8
 
Habari wana jamvi, nina changamoto moja naomba mwenye ufahamu anisaidie..

Nilideposit 888starz kwa Vodacom Mpesa nikazungusha mtaji kama wiki nikaipata faida..sasa nilipofanya uamuzi wa ku-withdraw nikakuta huduma ya kutoa kwa mobile haipo, nikajaribu kutafuta wakala na yeye kachemka, naomba mwenye kujua namna anielimishe.

Salute kwenu wawekezaji.
Mkuu ndio maana huwa tunasisitiza haya makampuni ya kirusi ni mazuri sana kwenye mpangilio na machaguo lukuki....... lakini sasa BET AT YOUR OWN RISK

UHUNI ni mwingi sana haswa kwenye makampuni ambayo hayajasajili Bongo kama hiyo

Shida kubwa ni kwamba njia uliyotumia kuweka hela ndio hiyo pekee utakayo tumia kuzitoa hela ukila......
kuna mchakato mrefu wa kubadili njia, Unatakiwa u deposit kwa njia nyingine halafu utumie kiasi chote kubet kisha bet iki win ndio utaweza kutoa kwa njia hiyo mpya uliofanya deposit
Ki ufupi mchakato ni mgumu, wasiliana nao watakupa masharti yake

Au wasiliana na huyu mdau Ser naona anaipigia sana promo hii kampuni akusaidie
 
Back
Top Bottom