Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari wana jamvi, nina changamoto moja naomba mwenye ufahamu anisaidie..

Nilideposit 888starz kwa Vodacom Mpesa nikazungusha mtaji kama wiki nikaipata faida..sasa nilipofanya uamuzi wa ku-withdraw nikakuta huduma ya kutoa kwa mobile haipo, nikajaribu kutafuta wakala na yeye kachemka, naomba mwenye kujua namna anielimishe.

Salute kwenu wawekezaji.
Mkuu utatoa kwa kutumia Voda hiyo hiyo. Muda si mrefu watarejesha malipo kwa mitandao ya simu. Inaonekana kuna mgogoro kati ya Wakala wa mitandao ya simu na 888STARZ.
 
Mkuu utatoa kwa kutumia Voda hiyo hiyo. Muda si mrefu watarejesha malipo kwa mitandao ya simu. Inaonekana kuna mgogoro kati ya Wakala wa mitandao ya simu na 888STARZ.
Yaah kuna mgogoro...

Bongo wanataka wasajiliwe hapa na walipe kodi coz hawana ofc hapa bongo.

Ndio maana nikamwambia pia kama vipi avumilie inaweza kutengamaa japo hatujui ni lini.
 
Yaah kuna mgogoro...

Bongo wanataka wasajiliwe hapa na walipe kodi coz hawana ofc hapa bongo.

Ndio maana nikamwambia pia kama vipi avumilie inaweza kutengamaa japo hatujui ni lini
Haya mambo ukijichanganya ni tatizo..hela ndefu tu ipo kwe akaunti, nahofia kuendelea kuicheza maana inaweza ikaliwa au nikashinda pakubwa zaidi na nisiitoe..
 
Mkuu utatoa kwa kutumia Voda hiyo hiyo. Muda si mrefu watarejesha malipo kwa mitandao ya simu. Inaonekana kuna mgogoro kati ya Wakala wa mitandao ya simu na 888STARZ.
Nikishindwa kabisa nitavuta subira tu
 
Wale WA matreni jiandaeni naleta mengine
 
Attachments

  • Screenshot_2024-09-27-12-35-11-573_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2024-09-27-12-35-11-573_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    334.9 KB · Views: 4
5pbhvo.jpg

⚽MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA⚽

Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424👇

Link: PariPesa

Link: PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌Pata Bonus Ya 250000 Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Juu Na Kuweka Promo Code TIPS2424. Bonus Unapewa Mara Mbili Ya Kiasi Unacho Deposit.

Booking Code: HS9K8
 
Mnaotumia sportybet kiwango cha juu kabisa wanachoruhusu kustake ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom