Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naunga mkono Hojaaaa
Mie mara kibao na CASHOUT chumba hicho

Na jingine kwa SGR lovers

Stake high kwenye Train,
Mfano train la milioni 90 au 50,ukistake 10,000 basi Mechi zikifoka robo tu basi pesa nzuri mnoo na hata winning margin ya kila match CASHOUT inapanda kwa Kasi mnoo

We mfano unaweka Tsh:20 tu,Mechi 10 zikitiki ubakimia kenye 1,000 naaa

Good that tunakumbushana

Mie train huwa na stake mikeka 3 ktk,Tangu nione majanga ya CASHOUT yanazingua
 
UEFA+ EUROPA

Huu mfumo wa kucheza kama league utatuchania mikeka mpaka basi

League za ndani zinakuwa hazina uhakika
Kila Team inalinda wachezaji wake kwa International Games

Itatucost mnooo hii

Lazima plans options zibadilike

IMaana kesho kutwa wote wana matches
 
UEFA+ EUROPA

Huu mfumo wa kucheza kama league utatuchania mikeka mpaka basi

League za ndani zinakuwa hazina uhakika
Kila Team inalinda wachezaji wake kwa International Games

Itatucost mnooo hii

Lazima plans options zibadili
Umeongea kitu kikubwa na cha maana sana. Wiki mbili zilizopita alikuwa Liverpool
 
......nimependa hiyo kustake mara 3, naichukua mkuu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…